Nifanyeje,anapenda kunilamba sana

Inaonesha kuna sehemu ya siri zaidi anayokulamba hivyo huwa unakukumbusha ili umpe afurahia.
 
Jokes/utani na udaku.
Wabongo bwana teh teh teh mbwa sianalamba mikono kama amekuzoea vizuri duh mnadhambi nyie au ni kiswahiliiii
 
Natoa Tamko: Wajingawajinga na vi-threads vya kijingajinga Mods wang'oe haraka.. natoa siku kadhaa wa kadha.
 
Duuuh!! kurukiwa,kuparamiwa,kupumuliwa,!!!!!!
Jokes and Udaku bwana haya wewe mshindi ila du mawazo ya watu wanakimbilia kule.Jamaa kasema mbwa wake anamlukia anapenda kulamba mikono ila watu mmekimbilia kuleeee kwani ata ng'ombe anamlamba mtu aliyemzoea.
 
ukiona hivyo ujue unanuka! mbwa huoenda kulamba vinavyonuka! jaribu kuangalia tafadhali!
 
Back
Top Bottom