Nifanye nini?

Fidelis88

New Member
Jul 7, 2011
2
0
Nimetokea kumpenda rafiki yake na mpenzi wangu wa zamani wa sekondari ambaye nimekutana naye chuo tofauti na huyo ex-girlfriend wangu.
 
Hivi nyie mbona kila leo hapa JF nimekutana nae Chuo chuo chuo tu, nyie mnaenda kutafuta ma gf huko sio kusoma?

Wasamehe bure mkuu............wengine wameenda vyuoni "kukua"..........na wengine kusoma,
Si unaona hata mada zao mkuu?Tusaidiane kuwalea hao...........wanaokulia vyuoni kupitia JF.
Wamesikia tetesi kuwa JF kuna Great Thinkers..................ndio mana wanakimbilia hapa.
 
Kusoma siyo kuelimika, wengine wanafuta ujinga wa kujua kusoma na kuandika tu.
 
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 7th July 2011
Posts : 2
Rep Power : 0

Hakuna Msaada... Soma kwanza usije ukawasumbua wazazi wako...
 
Alaa...ufaNYEJE AJE NA WEWE USHAPENDA...
cAN U UN-LOVE?

Btw, wakati uko na huyo ex-gf wako..huyu rafiki yake ulikuwa unamfahamu?
 
Wasamehe bure mkuu............wengine wameenda vyuoni "kukua"..........na wengine kusoma,
Si unaona hata mada zao mkuu?Tusaidiane kuwalea hao...........wanaokulia vyuoni kupitia JF.
Wamesikia tetesi kuwa JF kuna Great Thinkers..................ndio mana wanakimbilia hapa.

wamezidi sasa...kwani wakisema tu nilikuwa na gf wangu si inatosha? Mpaka uandike chuo jamani? hahaha by the way magreat thinkers wanakazi
 
Nimetokea kumpenda rafiki yake na mpenzi wangu wa zamani wa sekondari ambaye nimekutana naye chuo tofauti na huyo ex-girlfriend wangu.
unampenda au unamtamani? Hebu soma huko make naona unaitafuta september conference kwa nguvu na GPA ya 2.it seems you r too young to stand with ur own feet young boy!
 
Soma wewe achana na mambo ya kipuuzi,
Mkifeli mnaanza kulalamika,
kumbe kutwa kufikiria rafiki wa GF wako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom