sure, hope yatatokea mazingira ya mi kuwa nae (mtoto) kwa vile nahitaji hivyo. Dume atiKama ni wa kwako atakuja tu siku moja, ila kwa sasa sio vyema kuwaharibia huyo mama na mtoto hayo maisha wanayoisha. Muache mtoto awe in a stable home, as far as hali halisi ndio kama ulivyoielezea.
Pole sana KINGI.. Tafuta mke ilhali wewe ni lijali, utapata mtoto wako baada ya kufunga ndoa halali.. Pole sana Kaka..
kiukweli miaka 7 iliyopita nilikuwa na uhusiano na mke (bibi) wa mtu ambao hawajafunga ndoa hadi leo. kipindi hicho damu inachemka kwa sana. akashika mimba na wala hakuniambia mimba ni yangu. baada ya kujifungua ndipo akaniambia kuwa mtoto ni wangu. sikutaka kukubali na akawa ananilazimisha na kutishia kunisusia mtoto. kila aliyemwona alisema mtoto ni wa kwangu. uhusiano na huyo bwana wake nao ukawa na migogoro kipindi hicho. ikafika wakati nikaanza mchakato wa kumkubalia alichosema. ndipo siku tukakutana akaniambia kuwa yule mtoto si wangu na alikuwa anataka kunibambikizia tu. akasema kuwa ndugu wa bwana wake walikuja kumwona mtoto na wakaridhika kuwa ni damu yao. nikakubali shingo upande. huwa nakutana na rafiki yake wa karibu na huwa namuuliza kuhusu huyo mtoto nae anasema kuwa ni wangu, na kwamba wanawake wana siri sana. huwa nakutana na huyo mke wa mtu kwa nadra (si kufanya mapenzi) na nikimuuliza anakataa kabisa na kunipotezea. siku zinavyoenda nazidi kuwa na shauku ya kutaka kujua ukweli na ikibidi kuthibitishiwa ukweli. cha ajabu hadi leo hawajaongeza mtoto mwingine wakati huyo ana miaka 7 sasa. kuna uwezekano wa kumpata huyo mtoto au ndio basi?
Hii kitu huwa sipendi kuisoma,sababu praktikale inanigusa directly!
Story yako haina flow ya kueleweka. Umetunga au
umemodify situation. Kama ni kupotezea watu muda, wamekushtukia.
Hii kitu huwa sipendi kuisoma,sababu praktikale inanigusa directly!