Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,336
Nenda kwa mganga wa maruhani, atakupa dawa ambayo itamsahaulisha ID yako...............LOL
Lol lol uwiiiii Mtambuzi mimi nikiwa na shida sitakuhusisha kama ndio hivi.
Nenda kwa mganga wa maruhani, atakupa dawa ambayo itamsahaulisha ID yako...............LOL
Huo ndio ushauri wa haraka haraka siku hizi.................................LOLLol lol uwiiiii Mtambuzi mimi nikiwa na shida sitakuhusisha kama ndio hivi.
Kwani tatizo liko wapi?
Kuna nn kinachokufanya uwe na mashaka baada ya mkeo kujua user name yako?
Huo ndio ushauri wa haraka haraka siku hizi.................................LOL
Mpatie na password yako pia!
Kama wewe muovu ndo utakuwa na wasiwasi wa kuibadilisha,lakini ikiwa ni "mlokole jina" kama mimi,endelea nayo tu dadii.
Kwani unataka kumficha nini cha ajabu unachofanya humu jf? Wenzio tunajadili na posts zetu na wenza kabisa!