Nifanye nini? Mke wangu ameijua user name yangu ya JF!!

Hydrocephalus

Member
Feb 6, 2012
27
5
Habari!

Naomba mnishauri jamani,leo nimegundua kuwa mke wangu kaijua username ninayoitumia JF. Nifanye nini? Niendelee kuitumia au nibadilishe?
 
kama huwa unnaitumia vibaya ni bora uchange, kama huwa ni kwa mema hakuna haja. nyie si ni mwili mmoja bwana!............
 
Kwani tatizo liko wapi?
Kuna nn kinachokufanya uwe na mashaka baada ya mkeo kujua user name yako?
 
Kwani tatizo liko wapi?
Kuna nn kinachokufanya uwe na mashaka baada ya mkeo kujua user name yako?
 
Kwani tatizo liko wapi?
Kuna nn kinachokufanya uwe na mashaka baada ya mkeo kujua user name yako?
 
nadhani mwenzetu huenda anahudhuria sana kwenye love chat tena yawezekana wameshawahi kugongana huko wakafanya love chat bila kujuana mwishoni mwa siku kutambulishana wanajikuta kumbe ni mke na mume.
 
Kama wewe muovu ndo utakuwa na wasiwasi wa kuibadilisha,lakini ikiwa ni "mlokole jina" kama mimi,endelea nayo tu dadii.
 
Nyie ni mwili mmoja, chako chake chake chako, mwambie naye akupe id yake, au mnafichana!
 
mbona tupo wengi tu na wenzi wetu humu......shida ni nini....?
tena saa zingine akiandika utando....unampa kitu inauma....khaaaa
 
Join Date : 6th February 2012 Posts : 18 Rep Power : 313 Likes Received 4 Likes Given 0 Kama ni hii cha kuogopea nini hapo? kama sio hii basi endelea na hii kwa mambo yako ya kipuuzi na aliyo ijua tumia kwa mabo ya maana
 
mbona powa tu..mm mpnz wangu wakati mwingine anaanzisha threads kwenye account yangu..anajua passwords zangu zote na zake nazijua!kwa nn mfichane kama kweli mmeamua kwa dhati kuwa mwili mmoja!
 
MP kwa Invisible ili ubadili user name ila sioni tatizo lbd una yako ya ziada ambayo unataka kumficha.
 
Habari!

Naomba mnishauri jamani,leo nimegundua kuwa mke wangu kaijua username ninayoitumia JF. Nifanye nini? Niendelee kuitumia au nibadilishe?

Wewe ndio unamjua mkeo sasa ukituuliza sie unataka kutuchumia dhambi bureee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom