Nifanye nini asiniache?

pole, lakin ihave a q? kama angelikuwa amefanya yy hivyo ungeli msamehe? sasa ujue sio easy kama wengine na ww unavyo chukulia , mpe muda ,na usichoke kuomba radhi , kua na subra wanawake tuna huruma ,ata kusamehe tu huyo. but punguza ujahilia boss , he!
 
kama hakuna uaminifu basi hamtakuwa na amani..
Na kama anataka kuondoka huwezi kufanya kitu chochote kumzuia.
sana sana utamuhakikishia ya kwamba umebadiliaka lakini hatasahau ulichofanya.
anasisitiza sana anataka kuondoka mwache aende. labda ataenda huko kufikiri na kutafakari
mwishowe huwezi jua. anaweza rudi au anaweza kupata amani zaidi aendapo.
 
Kaka pole. . Dah. .Omba juu chini akupe chance {nafas ya kumwonesha utabadilika...Hapa nikama unampa ubaba wenye nyumba,unakua chini yake. }mkumbushie alivyokupa chance ya maisha yake yote kuish nawe. .Bt make it kama unataka kiji chance ndani ya uo mchance. .Ikishndikana mwache aende bt mkubaliane while mnakaa tofauti mpeane chance ya kusettle disputes zenu i.E meetups,talking,kuwepo kwa msaada wa vi2 vidog. .Yani ingeneral muwe na bond ya kirafiki and msiwe mmeachana jamii ikajua. .
 
Back
Top Bottom