Nifanye nini asiniache?

Jan 3, 2012
7
1
nampenda mke wangu japo haamin ktk penz. nimemkosea na kukir kymsalit kwa tukio la julai 2010 lakin sasa linamfanya asikubali msamah wangu. nampenda pamoj na mambo mengne yaliyotokea bado anasisitiza kuondoka nyumbanakipata kaz,nifanyaje wandugu
 
Kama uliona hana maana ukafura mwingine, basi kubali matokeo kuomba msamaha hakubadilishi kile ulichofikiri wakati unasaliti. Ni vizuri ukamfuata huyo uliyemsaliti naye umwambie ajiandae kuja akiondoka uanze kuishi naye. as simple as that.
 
Ni kweli unajutia kosa lako???
Kaa nae chini ongea nae, mweleze ni jinsi gani unavyompenda. Pia inakupasa ubadili haraka sana nyendo zako na kuwa muwazi kwake labda atarudisha imani kwako, ingawa ni kitu kigumu sana kwa mwingine kusamehe moja kwa moja.
 
padri kulala na sister haibadilishi ukatoliki, mwekee vikao vya wanandugu atakuelewa tu bro
 
Wakati unamsaliti uliona sifa ehhhh?
Mbona hukuja kuomba ushauri kabla?

Nwy heshimu maamuzi yake, mpe uhuru wake. Labda akikwangalia kwa mbali akakuona kweli umebadilika atabadili mawazo na kukubali mrudiane.
 
Usufanye chochote
Kisicho riziki hakiliki

Ndo maana wakati mwingine unakula chips mayai afu unatapika wakati mfukoni huna kitu
 
its ok unachosema lakin kilichotokea ni mistake na si mapenz, si rahis kama unvyosema nampenda mke she's evrythn kwa maisha yangu heri nife ndoa yangu ina mwaka mmoja na ni matatizo2 bt nampenda mke wangu
 
Aaaa na wewe ya nini umemuambia si ungebana kimya tu.

Mbona shetani haji kutuomba samahani akisha kutupoteza.
 
Tulia tu, acha kuhangaika kumbembeleza sana. Kama anakupenda kweli atabaki na kama ameshaamua hata ufanye kitu gani hutaweza kumbadilisha.
 
ndoa ina mwaka mmoja tu ushamsaliti mkeo?!

Endelea kumwomba msamaha,ongeza mapenzi, kama una nyendo zisizofaa ziache!
 
asikubabaishe huyo,kwani ku cheat ndo nin bana,aanze kama anataka.
 
Usimshirikishe mtu yoyote katika kusuluhisha ni nyie wawili kaeni mtaoneana aibu na kupata jawabu.~~~
 
...kama yeye anataka kukuacha, unamzuia ya nini?
kila mtu na maamuzi yake bana.
 
give her some space jaman.
akija kuona umuhimu wako atakutafuta 2.
NB. acha kutangatanga ndio faida zake izooo.
 
Back
Top Bottom