Nifanyaje?

nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
184
Naomba nisaidieni jamani. Nimetokea kutokuwa na appetite ya kula, appetite ya mapenzi na nime loose kilo 6 ndani ya miezi 3. Nilikuwa na kilo 85 na sasa nina kilo 79. Sijui kama kulala kwangu late kama saa 6-7 usiku na kuamka saa 1 asubuhi kumechangia, sijui.
 
Una urefu gani kwani uzito unaendana na kilo.
ili kupata appetite ya kula kunywa maji mengi na matunda
 
Una kitu kinachokupa stress labda maana stress nayo inaweza sababisha ukakosa hamu ya kula
 
Naomba nisaidieni jamani. Nimetokea kutokuwa na appetite ya kula, appetite ya mapenzi na nime loose kilo 6 ndani ya miezi 3. Nilikuwa na kilo 85 na sasa nina kilo 79. Sijui kama kulala kwangu late kama saa 6-7 usiku na kuamka saa 1 asubuhi kumechangia, sijui.

Mkuu mie naona uendelee kupungua tu hadi ufikishe kilo 60 itakuwa poa zaidi. Uzito mwingi noma hapo tegemea presha, kisukari na magonjwa mengine yakunyemelee!

Mwanaume unatakiwa mtu wa mazoezi ili mwili uwe fiti kwa kazi zote including ku.to.mba sasa wewe kama una kilo 80 hiyo hamu ya kutia itoke wapi? kwanza lazima utakuwa na kitambi sasa hiyo ndo hata ku.to.mba utashindwa kabisaaaa!

NB: amka kijana fanya mazoezi, nataka unipe jibu as soon kuwa umeshafikisha kilo 60 umesikia enheee?
 
asante kwa ushauri lakini kaka mimi ni mtu wa mazoezi.Sina unene wowote ni misuli tu
 
NB: amka kijana fanya mazoezi, nataka unipe jibu as soon kuwa umeshafikisha kilo 60 umesikia enheee?

Acha hizo Bana, hizo ni kilo za akina dada...
Ni kweli kuwa jamaa anastahili kupunguza uzito wake angalau awe na kilo zisizidi 77 kulingana na Urefu wake, lakini siyo 60 Arifu...
 
Kama hauumwi ni vizuri iwapo utapungua, kama unahoma za mara kwa mara wahi sasa hivi kimbilia kwa babu lolio................ kabla hujabaki na kilo 20.
 
Back
Top Bottom