Nifahamisheni jina la sinema ya kanumba iliyompadisha chart

jimjamtz

Senior Member
Mar 13, 2008
153
28
Ndugu wana JF,Ninaomba sana mnitajie sinema alizo igiza Mar.Kanumba ili niweze kuzitafuta maana sikuwai kuwa na Bahati ya kuangalia matoleo yake.
Nimesoma kwenye magazeti kuwa aliweza ku ACT sinema 40 plus ,habari hizi ni za kweli.
Nitafurai kupata majibu.
 
Nchi ina matatizo wewe!!achana na mambo ya wazinzi wafu!!tuzungumzie destiny ya nchi!!.
 
nchi ina matatizo wewe!!achana na mambo ya wazinzi wafu!!tuzungumzie destiny ya nchi!!.

this is not fair.hivi kweli hili ndilo jibu la swali langu please while we deal with our national problem note that life stil goes on. Thank u.
 
Zile ambazo mimi niliziona nzuri zaidi ni young billioneir,moses,crazy love,village pastor,morning alarm,more than pain,the shock, nk
 
Thank you Brown add,naona ni nyingi sana.Ntazitafuta nione Ranking zake kama zina karibia Oscar Award...
 
Inaitwa ACHA YA WAFU FATILIA YAKO...
Ni ya Zamani sana..
Ndo move yake ya kwanza..
 
Zile ambazo mimi niliziona nzuri zaidi ni young billioneir,moses,crazy love,village pastor,morning alarm,more than pain,the shock, nk
Thank you Brown add,naona ni nyingi sana.Ntazitafuta nione Ranking zake kama zina karibia Oscar Award...
 
Magic house,ripple of tears,dar to lagos,uncle jj,oprah,a point of no return,because of you, lovely gamble
 
Ndugu wana JF,Ninaomba sana mnitajie sinema alizo igiza Mar.Kanumba ili niweze kuzitafuta maana sikuwai kuwa na Bahati ya kuangalia matoleo yake.
Nimesoma kwenye magazeti kuwa aliweza ku ACT sinema 40 plus ,habari hizi ni za kweli.
Nitafurai kupata majibu.

Uncle JJ
 
Back
Top Bottom