FELISTER kulwijira
Member
- Mar 11, 2007
- 16
- 1
Jamani sijui nitakuwa nimeenda nje ya thread hii lakini naomba kujua kitu kimoja ambacho kimekuwa kikinitatiza sana ukienda kununua dawa katika duka la dawa hususani zile wanazoweka katika vi mfuko vya kaki au vya plastiki kama panadol unakuta baadhi ya wauzaji wameweka kijikaratasi kiichoandikwa maelekezo ya kutumia mfano 2 mara 3,
Sasa kile kikaratasi hakina madhara kwa mtumiaji au ule wino wa kalamu, mbona zamani walikuwa wakiandika kwa juu sasa iweje watuwekee kile kikaratasi ndani ya zile dawa au wanaona uvivu wa kuandika au huwa wanawaachia watu wasiojua sasa wanaandika vile ili wasije wapa wateja maelekezo ya uongo ,? Mi binafsi naona kinyaa kwa vile sijui maandalizi ya hivyo vikaratasi kama wanazingatia usafi pliz nisaidieni.