Nieleweshe asili ya neno tigo?

TIGO ni neno la kispania lenye maana ya YOU yani wewe
Nahutumika pale mtu analosema CON TIGO akimaanisha WITH YOU.
CON=WITH.
dah!! kumbe huwa tunaongea kihisipania bila kujuwa...lakini maana hiyo bado iko mbali na maana ya mtaani tunayotumia
 
k
KERO kweli kama unaongea na watu alafu unaanticipate watafikiria nini lazima uyayushe maneno.
kama ni hivyo basi linaweza kutoholewa na kuingizwa kwenye kamusi.litumike rasmi??
 
ila
Either "Kwa sababu yakubadil makampun zaid" au....
Kwa sababu ni mtandao ambao tangu miaka ya '07 umekuwa ukitumiwa na wanafunzi sana hasa wale wa ngazi za juu wenye sifa za kupendelea uwakala huo(tafsida).[/QUOTE
ila chanzo chake nini kwa hao wanafunzi?
 
sababu kubwa ya neno TIGO kama jina la kampuni kutumika vibaya kilichangiwa na hoja kubwa kwamba mabosi wake wengi wanatabia za kishoga na wengine ni mashoga! sio utani na ndio maana hata matangazo yao yale ya Joti ukiyazingatia vyema utakuta ushoga ushoga! na hii nitangu enzi zile ilipokuwa ikiitwa mobitel! wanaokumbuka vyema wataungama kwamba hata mademu walikuwa wakiitwa kimobiteli yaani dem mwembamba!
ila kwa sie tuliosoma Kihispania TIGO maana yake ni kama vile wewe ingawa itaeleweka "wewe" pale inapotumika kama CON TIGO! yaani pamoja na wewe!
aisee asante sana kwa maelezo hayo nimeelewa sasa....kumbe limekuja kwa kuaksi matagazo yao ya kuvaa wigi na madira.....safi sana...
 
k

kama ni hivyo basi linaweza kutoholewa na kuingizwa kwenye kamusi.litumike rasmi??
Ndio ila endapo litakubalika katika matumizi ya kila siku....sema kwa ninavyofahamu hilo neno wengi hawalipendi mapokezi yake si kama ilivyo kwenye neno la kiingereza nilipendalo. f*ck Yani hilo neno kokote pale linarhyme! mmarekani akikosa neno lazima atumie hilo neno. Iwe ni kwenye furaha, karaha au hisisa yoyote ile.
 

Attachments

  • 1469122420815.jpg
    1469122420815.jpg
    14.1 KB · Views: 51
  • Thanks
Reactions: lup
Ndio ila endapo litakubalika katika matumizi ya kila siku....sema kwa ninavyofahamu hilo neno wengi hawalipendi mapokezi yake si kama ilivyo kwenye neno la kiingereza nilipendalo. f*ck Yani hilo neno kokote pale linarhyme! mmarekani akikosa neno lazima atumie hilo neno. Iwe ni kwenye furaha, karaha au hi isa yoyote ile.
ngoja watu waliboreshe tu nalo litapata kibali
 
t
Naungana na wewe ndugu hata mimi huumiza akili chanzo cha mtandao huu wa mawasiliano kuhusiswa na tabia ya kinyume na maumbile. Siku moja tunasafiri na timu ya mpira kijijini kwetu jamaa mmoja akaomba mwenye laini ya vodacom amsaidie kuongea na ndugu yake (yeye alikuwa na airtel), jamaa mmoja akadakia........mimi nina tigo!! Watu wote kwenye fuso wakageuka kumwangalia huyo mwenye tigo
tumejibiwa tayari...
 
Naungana na wewe ndugu hata mimi huumiza akili chanzo cha mtandao huu wa mawasiliano kuhusiswa na tabia ya kinyume na maumbile. Siku moja tunasafiri na timu ya mpira kijijini kwetu jamaa mmoja akaomba mwenye laini ya vodacom amsaidie kuongea na ndugu yake (yeye alikuwa na airtel), jamaa mmoja akadakia........mimi nina tigo!! Watu wote kwenye fuso wakageuka kumwangalia huyo mwenye tigo
Angalia logo ya tigo herufi o inawakilisha hilo tundu
 
  • Thanks
Reactions: lup
Watu wamezoea tu kuita majina ya vitu vingine kwa maana nyingine. Hata wale askari wanaofanya doria kwa pikipiki wamekuwa wakiitwa tiGo au maeneo mengine huitwa vodafasta
 
Kauli mbiu yao ya 'inakupa zaidi' ndiyo iliyoleta jina hilo,mwanamke akikupa huko kakupa zaidi,na nadhani ilikua 2006 au 07 ndo jina lilianza
 
za kazi jamani, kuna hili neno ambalo watu wengi tunatumia kama tafsida ya maana kuingiliwa kinyume na maaumbile. TIGO.au 0713.. nafahamu tangu mwanzo kuwa kuna mtandao wa simu ambao asili yake ilitoka kuanzia mobitel hadi tigo.
lakini kwa sasa neno tigo linatumika kwa maana nyigine na linazidi kuwa maarufu sana na huku tendo hilo lilishaanza kabla hata ya simu kuja Tanzania. sasa nauliza kwa wanao fahamu kwa nini waliamua kutumia jina la mtandao na kabla ya mtandao kulikuwa na neno gani?
kaulimbiu yao ya 'inakupa zaidi' ndiyo iliyoleta hilo jina,dem akikupa hilo 'tundu' anakua kakupa zaidi ya wengine,lilianza 2006 au 07
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom