Nidhamu wakati wa kula!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
(MTOTO);Baba hebu angali.... (BABA);Kimya wewe!,hutakiwi kuongewakati wa kula. (Baada ya kumaliza kula). (BABA):Enhee,ulikuwa unataka useme nini mwanangu? (MTOTO):Nilitaka nikwambie,"kwenye sahani yako kuna mende!"
 
Ngoja ajitie vidole ndo akome ila kwa wagumu kama sisi Fear factor imetusaidia
 
:shock: Just a few minutes of patience... zingemuepushia fadhaa ya kubwia mende!! Lakini US marines wanasema, "If it stays down, then it's good for you" Kama hakutapika... he'll survive.

One bonus joke:
'Einstein climbs to the top of Mt. Sinai to get close enough to talk to God.

Looking up, he asks the Lord...
"God, what does a million years mean to you?"

The Lord replies, "A minute."

"Einstein asks, "And what does a million dollars mean to you?"

The Lord replies, "A penny."

Einstein asks, "Can I have a penny?"

The Lord replies, "In a minute."
 
Tatizo utemi ila kama angemsikiliza asimgekula huyo mende

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
dogo muongo tu hakukuwa na mende wala nini alitaka kuleta story zake za mchangani dingi kamzingua sasa anataka kumchanganya
 
Back
Top Bottom