Nidhamu Jeshini

Mpagama

Senior Member
Jan 9, 2011
127
7
Wana JF hii mnaionaje?
 

Attachments

  • dog-590x438.jpg
    dog-590x438.jpg
    143.9 KB · Views: 517
Kijana siyo jeshini mahali popote pale nidhamu ndiyo msingi wa kazi na hata ukitaka mafanikio mazuri wewe kuwa na nidhamu tuuuu//
 
Hawa wana vyeo vya kijeshi na mishahara yao minono. Wanakula vizuri na kupata huduma za afya bora.
 
Dah! hivi kumbe hawa viumbe wanafundishika kwa kiasi kibwa namna hii. :msela:
 
Kijana siyo jeshini mahali popote pale nidhamu ndiyo msingi wa kazi na hata ukitaka mafanikio mazuri wewe kuwa na nidhamu tuuuu//

Order from you executive(boss) must be reasonable!sio hata ukiambiwa uiname unainama tu,eti unatii na una nidhamu!huo ni ujinga !!
 
Ni kati wanyama amabo unaweza kuwafundisha mambo mengi sasa
 
Mwenye akili anajuwa kufudisha mpaka hayawani anaelewa, wabongo tumeshindwa hata kufudisha forofo wakala mizinga ya kufa mtu-tuna akili kweli?

Si unaona, sukari inapanda kwa 25% ndani ya mwezi, mabomu yanatulipukia kwa uzembe wa mshenzi fulani tumetulia, jamaa kachakachua uchaguzi tunaona hayatuhusu miaka 5 siyo mbali, machinga wana timuliwa mjini bila kupewa alternative, tunaona shauri yao, wamegawa madini yote tunaona bomba tu hivi tulilogwa na nani?
 
Back
Top Bottom