habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Kila siku Tanzania kuna vioja
You're right na hapo ndipo penye hoja ya msingi lakini vilevile isije ikawa kwamba walipangiwa hizo bilioni kadhaa lakini walichopewa sicho walichopangiwa manake hiki ndicho kimekuwa kikiendelea hata kwenye zile wizara nyeti! Na hasa ukizingatia kwamba baada ya Escrow donors waligoma kutoa ufadhili wao, then I doubt kama serikali ingepeleka pesa NIDA wakati hata kwenye matumizi yasiyozuilika hali ilikuwa si shwari!Shida ni gharama iliyotumika na matokeo yake, ulinganifu haupo ! Hapo ndiyo penye tatizo . Andishi si tatizo wala tuzo si tatizo.
Nitajie nchi ambayo kitambulisho cha uraia kuna chip??Kitambulisho chenyewe siyo smart,haina chip.Tumeibiwa
nipe mfano wa nchi kubwa ambayo vitambulisho vyao havina sahihiHuyo rais amekurupuka kuwa na sign ndani ya vitambulisho siyo indication ya ubora wa kitambilisho.. kwani kuna nchi kibao kubwa lakini kwenye vitambulisho vyao hamna sign lakini alitumia lugha ile rahisi ili aweze kujenga na ku justfy uwamuzi wake wa kuwatia kazi kwa ma layman kama nyinyi
Chinanipe mfano wa nchi kubwa ambayo vitambulisho vyao havina sahihi
China
Naomba kuuliza umuhimu wa signature ni nini? Details zote zimo kwenye database ya NIDA. Madamu picha inaonekana vizuri haitoshi hata kwa matumizi ya kibenki?
Hizi nishani zina politics ndani yake. Ukiwakirimu organisers unapat kiulaini mfano Mzee wa Msoga
vya kijanja janjaVigezo vilivyotumika ni vipi??
Tenda ni ya Mdogo wake Yaani Benard Membe na mpambe wake Jack Gotham ulitegemea nini? Kumbuka baadhi ya hizo pesa ndizo zimetumika kwenye kampeni kununua magoli ya mikopo, kuhujumu Ukawa, kuwanunua Lipumba na Slaa, walitumia pesa za NIDA pamoja na zile za marehemu Gadafi, sasa moto umewaka taratibu wanaanza kuisoma Namba japo Membe yupo busy na ile kamati yake ya Ufundi toka Gambia na vikao vya kumjadili Magufuli haviishi vichwa na pressure zipo juu ajabu.Mkweree yeye alikuwa wa kwanza kupata kitambulisho chake ,je yeye hakuona kasoro katika utendaji wa NIDA? Inawezekana kuwa alikuwa anafumbia macho kama kulikuwa na mapungufu, na kama ni hivyo kwa motivation gani?
NIDA pesa imepigwa na watu wachache sana yaani Membe, Jack Gotham na wengineo wachache, pesa haukufanya kazi iliyokusudiwa bali wajanja wachache wamejitafunia kifisadi tu.expiring date ni kawaida,maana utarenew.ila ndo hivyo nida imetumia mabilioni hata mkoa wa dar tu wote hawajapata vitambulisho vyao,sasa kwa nchi nzima vipi si watatumia matrilion
pesa nyingi Membe kaitumia kwenye kampeni kuwahujumu Ukawa na kumdhoofisha Lowasa, alitumia Mabilion kuleta waganga wa kienyeji toka Gambia na Nchi nyinginezo nyingi, sasa kimenuka anahaha kwenda Msoga kumwomba Kikwete amtulize Magufuli ajikaushe upepo upite kama kawaida ya Tanzania Nchi ya vioja vingi.hizo wazipeleke msoga kwa muhusika anaeandaaga mazingira ya kupewa
Mkuu taja nchi moja kubwa ambayo vitambulisho havina sign.Huyo rais amekurupuka kuwa na sign ndani ya vitambulisho siyo indication ya ubora wa kitambilisho.. kwani kuna nchi kibao kubwa lakini kwenye vitambulisho vyao hamna sign lakini alitumia lugha ile rahisi ili aweze kujenga na ku justfy uwamuzi wake wa kuwatia kazi kwa ma layman kama nyinyi
Hata mimi nimemuuliza hili swali.nipe mfano wa nchi kubwa ambayo vitambulisho vyao havina sahihi