Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,139
- 56,590
expiring date ni kawaida,maana utarenew.ila ndo hivyo nida imetumia mabilioni hata mkoa wa dar tu wote hawajapata vitambulisho vyao,sasa kwa nchi nzima vipi si watatumia matrilionMimi ndo kwanza nimejua juzi kua kuna vitambulisho vya uraia, mi nilikua najua kichinjio ndo cha uraia. Nasikia vitambulisho vyenyewe vina expire date (Sijathibitisha coz sijawahi kuviona).