Nichague yupi?

Chagua Banker namba 1 kaka yangu,mwanamke lazima awe na principal,huo u-busy usikupe shida kwa umri wake inapaswa kuwa hivyo,suala la ku-propose sex 3-4 days before si issue,kama ndo atakavyo fanya hivyo mradi hakunyimi si issue pia.Wivu wa kichinichini una heshima huo hauna tabu.issue ya TV channel kama CNN imenifanya nimpende zaidi,she wants to know what's going on in the world from the best sources.KEEP HER,utatuambia after some years!

gud.
na iyo ya sex 3-4 days b4 anaweza akaitengua kwa kiuno chake mwenyewe uyo kaka..AKIMPA MCHEzO MZURI,UKIWA UNAMPA VYOOOOOOOOTE AKARIDHIKA aahhh nakwambia kanuni iyo ataitengua mwenyewe...lakin km mchezo ukimpa robo robo lazima akuone msumbufu tu na kukupa ratiba ya game...CHEZA VYEMA KAKANGU DAILY ATAKUWA anakuulizia jion...dia ukitoka job una ratiba gan?unaweza pitia kwangu jion?...KAZA KIUNO MWAGHA MAUFUNDI....
KIPENGELE cha cnn ahh poa tu asi ndo atakua anakubrfu na wewe...
 
lolz......

...endelea ku search mwana!!! wote hao miyeyusho tuuuuu

sio kwamba ntaongeza mitatizo mingine arife?
 
Inaonekana wewe suala zima la kupambana na magonjwa ya kuambukiza halipo kabisa katika mtima

wako,wanawake wote hao wanini?

Na inavyoonekana hapa una list ndefu ila tu wengine hukutaka kututajia,kiukweli ni ngumu sana kwako kuchagua

mmoja wapo wa hawa wanawake kwani wote wana vitu ambavyo vina upungufu kwako na ili kuvipata ni lazima

uende kwa mwingine hivyo itakuwa ni vigumu sana kwako kuchagua mmojawapo wa hao wanawake.

Nakushauri tu urudi kwa muumba wako maana shetani anakutumia ipasavyo
siku hizi arifu lazima na ladha tofauti tofauti ukiboreka uku waamia kwingine......
 
siku hizi arifu lazima na ladha tofauti tofauti ukiboreka uku waamia kwingine......

Ili niweze kutoa ushauri mahususi ni vema nikawacheki hao watu wako...personally...
Hook me up with them...
 
Wajua nini mi nakushauri uwe na mafiga matatu huyo wa mapene, denti na shost wa kitaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom