NIC (T) LTD yatangaza kulipa madeni yake yote

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
Shirika la bima la taifa limetangaza rasmi leo kuwa wale wote ambao wanalidai shirika hilo waanze kufika katika ofisi za shirika hilo kwa ajili ya malipo ya madeni yao. Shirika hilo ambalo lilitangazwa kufilisika na kuwa chini ya wafilisi (CHC) mwaka 1998 sasa limesema tayari lina pesa ya kulipa wadeni wake wote.Jumla ya deni linalodaiwa shirika hilo ni kiasi cha zaidi ya shs bil. 30.

Haya wale wote ambao hawakulipwa/wanadai stahiki zao kwa shirika kuanzia sasa wafike kwenye ofisi zao kwa malipo

Source: NIC Head Office
 
Hii NIC itanyanyuka na baadae itasinyaaa si unakumbuka yale ya ATCL:twitch:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom