Nibusu basi mpenzi wangu: Raia akiongea kwenye daladala...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
....huwa nakosa pozi,nikisikia mtu kwenye mkusanyiko wa watu
anageuza ndio sehemu ya kuongelea nyeti zake...
kwa mfano unamsikia mtu kwenye daladala anaongea mambo kama haya:
  • aaaah mpenzi wangu unaniacha iviivi...?nibusu basi
  • aiseee unaweza kunisaidia kama mil 8 hivi nxt week nakurudishia:kwa majigambo, sio kama ana shida, ili mradi tu mgeuke nyuma kumuangalia ni nani..
  • duh mwanangu jana nimemkunja yule de**mu goli tatu sio mchezo mwenyewe aliomba po!
  • mh, shosti pale nimeingia cha kike kuchafuana tu, hana lolote!!!
  • nakwambia tusijuane kuanzia leo, mind mambo yako na mm niendelee na mambo yangu (kibuti)
ni baadhi tu, mengine na ww umeyasikia.

NB:sauti kuubwa watu wote inabidi wakusikilize ww
kiingereza kiboooovu, aibu tupu
unacheka ovyoo
je ni kukosa sehemu na muda kwa ajili ya kuongea mambo yetu?haswa mambo NYETI?
au ni ulimbukeni?
 
Ni ulimbukeni tu halafu ukigeuka kumwangalia anayeongelea hiyo mil8 hohehahe km invisible!!!
MAPROSOO.
 
Mimi wananikera sana wanaongea mambo ya mapenzi afadhari hata huyo anayejitapa anazo,binadamu siku izi hatuna aibu kabisa
 
sio tu kwenye simu kuna wengine wanakutana kwenye daladala na hawajakaa siti moja lakini mambo watakayoonge mpaka unashangaa
 
wale ndugu zangu wa bk iweeeee ndo zao........full mashauz,m.8 kumbe ana maana elfu 80,000/=
 
Mkuu Bagah upo
Mzima kaka
Ni ulimbukeni tuu huo yaani mambo ya faragha yanatakiwa yabakie ya faragha
Kama huyo sijui anayejitapa amemkunja mwanamke unaweza kukuta huyo mwanamke ndie anayemsema alimchafua kwa wenzake
 
Mkuu Bagah upo
Mzima kaka
Ni ulimbukeni tuu huo yaani mambo ya faragha yanatakiwa yabakie ya faragha
Kama huyo sijui anayejitapa amemkunja mwanamke unaweza kukuta huyo mwanamke ndie anayemsema alimchafua kwa wenzake
nipo bro,.mzima
bob acha tu mm huwa mpaka nywele zinasimama napata aibu
utadhani ni mm nimeongea...
sisi wabongo hakuna sekta tuliyostaarabika...
hata katika mambo madogo hadi aje mzungu...
 
Back
Top Bottom