Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
Mathalani ameshuka Malaika wa Rehema.
Akawa yupo mbele ya uwepo wako, kisha akapaza sauti na kunadi hivi :-
"Ewe Mwanadamu nimekuja na zawadi ya maana kwako, nina aina mbili ya zawadi. Ambapo unapewa fursa uchague mojawapo kati yake itakayokufaa katika maisha yako, mkononi kwangu nina
AKILI na
FEDHA
Tafadhali chagua kimoja."
(mwisho wa kunadi)
Ndugu yangu mdau unaesoma hapa utachagua nini ?
Ikiwa utachagua Mkwanja toa sababu.
Na ukichagua AKILI pia toa reasons.
Naomba kutoa hoja.