Nianze Kuzima Moto Upi Kwanza?

Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
3,197
3,930
Edmoto.jpg
 
Kwa kutumia ndoo sio rahisi labda apige simu ili aite kikosi cha zima za moto au kojozi la polisi maana lina bomba mbilimbili!
 
Imekuaje tena? Mbona huo moto mmoja baba nanihii alikwisha uzima? Au alifukia mkaa kwa majivu ya moto? Bora uanze kuuzima huo uliotulizwa na baba nanihii wakati ule. Huo wa nyumba ya pili (TUCTA) huwa sio mkali sana wazee wa darisalam wakiitwa tu unazimika fasta.
 
MwaJ,

Aliuzima kwa pumba za Mchele matokeo yake sasa umelipuka tena, na FIRE hawauwezi ule. Ngoja tuone EPISODE two itaishaje.

Sasa ndio watu wajue kuwa wakiwa wanadai haki zao wasiwe wepesi wa kukimbilia Magogoni maana hakuna lolote huko zaidi ya kutabasamu na kupiga picha!
 
Back
Top Bottom