Nianze kununua kipi?

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Wana JF siku ndo znaendelea kuyoyoma namna iyo..vp manthly plan yako ya januar.tayar!?..sio ishu!nina utata apa,naish dsm ni kijana mwenye ajira sekta binafs tangu june last yr..kipato changu around 1.2M take home...nimepanga,nafkria kununua japo kavitz kanskot tabu za daladala na jua,wakongwe wanashaur ninunue kiwanja nijenge kwnz...nimestak,pia wazaz wanantegemea...ebu wakongwe wa jf nijuzeni kijana mie maana mi naona its a mater of prioritization tuu...au...!
 
vipaumbele vyako ndio vya msingi na hili jukwaa la mapenzi nenda jukwaa la uchumi na biashara utaonana na babalao na voice of no reason na wengine utapata msaada mzuri
 
kat ya kujenga vs beb walker(vitz)?
kiwanja unacho?
km bado bas nunua kiwanja fresh then nunua kibajaj km unazan pia kitakuwezesha kukuzungusha katika kusaka not ingne pemben
 
vipaumbele vyako ndio vya msingi na hili jukwaa la mapenzi nenda jukwaa la uchumi na biashara utaonana na babalao na voice of no reason na wengine utapata msaada mzuri

i nguvu uliopoteza kuyaandka aya UNGEITUMIA KWENYE KUMSHAUR INGENOGA...
 
Kila mtu anakipaumbele chake kijana,. ila angalia mshiko wako ukoje, kwangu mimi naona kununua usafiri ni cheap, kuliko kujenga, kiwanja dar vinaanzia 8 million na am sure utajenga for years, kiwanja utachonunua kitakaa tuu, labda kama unazo za kutosha au una uhakika wa kupata fedha za kuweza kujenga mapema. for me nunua gari if u have little money, then baadae nunua kiwanja na uendelee kujenga. watu bado wana mitazamo ya zamani ya kujenga wakati enzi hizo ujenzi was cheaper than kununua gari. Vitz inasave sana mafuta, so ruuning cost will be cheap.
 
Nunua gari itakusaidia
Utaweza nunua kiwanja umbali wowote
Utakuwa mwepesi kutembelea site maana iatakurahisishia usafiri
 
kiwanja fest
secong gari
then unavuta pumz za kujenga .....lakin kununua gar ata kiwanja huna mhh mhh sijui lakin....na vnavyopanda bei kila subui...
 
Gari kwanza sababu siku hizi gari sio luxury ni necesary
 
Nunua kiwanja kwanza maana viwanja vinapanda bei (appreciate in value) na gari zinashuka bei na kuja kila dizaini.

Nunua kiwanja weka pembeni halafu dunduliza nunua gari. Baadae utakuja kujenga tu na kama huna hela ya kujenga utauza kiwanja kwa bei kubwa na kununua mbali na ukabakia na hela nyingine za kuanzia kujenga. Kiwanja ni asset kubwa na nzuri hutajuta.
 
Dogo kiwanja ni maliinayopanda bei sikuhadisiku gari ukinunua m5 kesho yake inakuwa imeshuka asilmia20 nunua kiwanja hatakama hukujenga kwamiaka kumi lakini samani yake inaongezeka ujipange tena ununue gari baadae usifanye haraka na gari jijenge kimaisha kwansa gari ni mali isiyo na dhamana mkuu unalinunua leo kesho yake mzinga nguvuyako imepotea lakini angalia mwenyewe kipi muhim
 
Inategemea unaishi mkoa gani. Kama ni dar bora gari kwanza ndugu manaake usafiri ulivo mgumu mh bora gari kwanza then kiwanja. Lakini kama ni mikoani na usafiri si washida anza kiwanja. Kujenga ni moyo unaeza nunua kiwanja na usiwe na wito wakujenga vilevile, wenzio wakakimegamega mpaka basi.
 
kat ya kujenga vs beb walker(vitz)?
kiwanja unacho?
km bado bas nunua kiwanja fresh then nunua kibajaj km unazan pia kitakuwezesha kukuzungusha katika kusaka not ingne pemben

Hahaaa aende moi aone majeruhi wa bajaji atakimbia mpaka kesho.
 
Kwa mimi, Kiwanja kwanza, then gari, then mipango ya kujenga mdogo mdogo. Huku maisha mengine yanaendelea. Unanua gari huna kiwanja, gari inatumia mafuta, service nk nk, unakuwa na matumizi mengine ya ziada, unaweza ushindwe kununua au uchelewe kununua.
 
Kwa vile ipo jukwaa hili mimi nakushauri kimapenzi mapenzi; nunua kiwanja ili demu/mpenzi wako akuone una akili ya kimaendeleo, halafu gari kwa ajili ya kutembelea kiwanja na demu/mpenzi wako, si vizuri kwenda site kwa daladala na miguu.
 
kama una mshahara take home 1.2, acha papara, jipe muda, usave peasa, lets say unasave laki saba kwa mwezi kuanzia january hadi december mwaka huu, utakuwa na 8.4m, hizo pesa unaweza kupata kiwanja nje kidogo ya mj kwa 3m na hiyo inayobaki ambayo ni 5.4 unaweza ukaongezea by februray 2012 ukajiopolea kivitz chako. Ukaendelea kusave hivo hivo, by dec 2012 unaanza kuweka msingi wa kujenga nyumba n so on. cha muhimu acha papara, jipange. kuna watu wanalipwa laki tatu kwa mwezi na wanasurvive, kwa vile uko single, hiyo laki tano kwa mwezi inakutosha kusurvive na hata kusupport familia yako. all the best.
carmel;
 
Kwa vile ipo jukwaa hili mimi nakushauri kimapenzi mapenzi; nunua kiwanja ili demu/mpenzi wako akuone una akili ya kimaendeleo, halafu gari kwa ajili ya kutembelea kiwanja na demu/mpenzi wako, si vizuri kwenda site kwa daladala na miguu.

Haswaa, manake ukikutana na mimi swali la kwanza una kiwanja, hata kama una mgari mzuri aje, kiwanja? Mpango wa kujega unao? Halafu ndo mengine yanafuata,au kwa nini uliamua kununua gari inayokula mavuta hivi siungenunua naniliu.....ha ha ha!!!!
 
Haswaa, manake ukikutana na mimi swali la kwanza una kiwanja, hata kama una mgari mzuri aje, kiwanja? Mpango wa kujega unao? Halafu ndo mengine yanafuata,au kwa nini uliamua kununua gari inayokula mavuta hivi siungenunua naniliu.....ha ha ha!!!!

Aisee nilifikiri natania kumbe kweli!
 
Back
Top Bottom