Nianzaje kumkumbushia deni langu huyu dada!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko fresh financialy basi jioni anione nimkopeshe kama elfu 50,maana anadai ana pesa ya kula leo na kesho tu, amenisisitzia hata ka sina nimfanyie maarifa hata kwa kumkopea kwa marafik zangu ili apate pesa ya kusurvive atleast kwa wiki 2,sa najiuliza deni langu la nyuma hajanilipa na wala hajawahi kuliongelea,afu bado anataka nimkopeshe tena,kikwel pesa ya kuweza kumsaidia ninayo bt nahofia isije ikawa bad debts,sa wakubwa mnanishaurije nimsave au nimpotezee,maana sijamjibu chochote hadi sa hvi na nitumie kaujanja gani kumkumbushia lile deni la nyuma pasipo kumfanya ajisikie vibaya?
 
Kibinadamu, mpatie hela chache sana ya kula. Muambie kuwa na wewe umechacha. Cha kufanya ni kuweka hesabu katika round figures. Ikiwa ulimkopesha 80, mkopeshe nyengine 20 ili iwe unamdai laki moja. Wakati unampa hizo 20 mwambie wazi- 20 hizi na zile 80 itakuwa ninakudai laki moja, naomba unilipe baada ya mwezi kwani na mimi niko taabani. Ikitimia mwezi, mkumbushe. Kama hatokulipa, angalau atawacha kukufanya shamba la bibi na atakuwa anakukimbia. Ukimnyamazia atakuzowea mwisho unaweza kujikuta unalipwa "fadhila" badala ya pesa.
 
Wewe cha kufanya weka hesabu katika round figure. Kibinadamu, mpatie hela chace sana ya kula. Ikiwa ulimkopesha 80, mkopeshe nyengine 20 ili iwe unamdai laki moja. Wakati unampa hizo 20 mwambie - 20 hizi na zile 80 itakuwa ninakudai laki moja, naomba unilipe baada ya mwezi. Ikitimia mwezi, mkumbushe. Kama hatokulipa, angalau atawacha kukufanya shamba la bibi na atakuwa anakukimbia.
labda nisiwe mimi
 
Kibinadamu, mpatie hela chache sana ya kula. Muambie kuwa na wewe umechacha. Cha kufanya ni kuweka hesabu katika round figures. Ikiwa ulimkopesha 80, mkopeshe nyengine 20 ili iwe unamdai laki moja. Wakati unampa hizo 20 mwambie wazi- 20 hizi na zile 80 itakuwa ninakudai laki moja, naomba unilipe baada ya mwezi kwani na mimi niko taabani. Ikitimia mwezi, mkumbushe. Kama hatokulipa, angalau atawacha kukufanya shamba la bibi na atakuwa anakukimbia. Ukimnyamazia atakuzowea mwisho unaweza kujikuta unalipwa "fadhila" badala ya pesa.
Hapo mkuu umenena
 
Mwambie akulipe ile ya mwanzo kwanza.....Hehehehe mtxt back mwambie ''Dah...aisee mi mwenyewe nlikua najipanga kuja kuchukua ule mzigo wangu maana mambo sio kabisa'' .
 
Mwambie na wewe umechacha kweli yaani ulikuwa unataka kumkumbusha ile 80 akulipe ili u survive
 
Wadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko fresh financialy basi jioni anione nimkopeshe kama elfu 50,maana anadai ana pesa ya kula leo na kesho tu, amenisisitzia hata ka sina nimfanyie maarifa hata kwa kumkopea kwa marafik zangu ili apate pesa ya kusurvive atleast kwa wiki 2,sa najiuliza deni langu la nyuma hajanilipa na wala hajawahi kuliongelea,afu bado anataka nimkopeshe tena,kikwel pesa ya kuweza kumsaidia ninayo bt nahofia isije ikawa bad debts,sa wakubwa mnanishaurije nimsave au nimpotezee,maana sijamjibu chochote hadi sa hvi na nitumie kaujanja gani kumkumbushia lile deni la nyuma pasipo kumfanya ajisikie vibaya?
we uko ka mie nikikopesha mtu cwez kumfata fata kunilipa so kukwepa hayo siku izi ckopeshi mtu labda nimpe tu bila malipo mana cwez kudai......natamani kweli niwe bandidu na mm mtu akinikopa namvaa anilipe mkavumkavu lkn cwez ............so pole sana
 
Mwambie hivi katika lile deni la mwaka jana ulilomkopesha apunguze elfu hamsini ziweze kumsaidia hizo wiki mbili. Usimpatie hela nyingine ya ziada kwani hatolipa na anaonekana hajui kubana bajeti vizuri ya fedha zake. Hivyo ukiendelea kumpa atakuona wewe ndio sehemu ya kupatia hela (kukuchuna)!
 
Pole mkuu. Mimi pia nina story kama hii ya kwako, japo ya kwako ni cha mtoto ukilinganisha na ya kwangu. Kuna dada mmoja tunayefahamiana japo si karibu sana alikuwa na shida akaniomba nimkopeshe pesa. Nikamkopesha na nikaahidiwa ningerudishiwa mwezi unaofuata. Mwezi ukaisha nikaanza kupewa series ya matatizo aliyonayo (nahisi ilikuwa ni namna ya kuniambia nisimdai tena), mara ana harusi ya ndugu yake mara ana mgonjwa mara hiki mara kile na sikumwambia chochote. Ikapita kama miezi 2 hivi akaja na shida nyingine ya dharura akaomba nimkopeshe tena na nikaahidiwa ningerushiwa baada ya miezi miwili mpaka sasa sijarudishiwa. Kwa jumla namdai zaidi ya Tshs. 2.6 mil. Dada mwenyewe ana kazi nzuri sana yenye mshahara usipoungua Tshs. 1.9 mil. kwa mwezi. Nimemkumbushia mara kadhaa jibu ninalopewa nivumilie kidogo. Lol! Sasa najiuliza huyu dada yangu anafikiri mimi sijihitaji hizo pesa jamani? Na mimi niliahirisha mipango yangu baada ya kuhakikishiwa ningezipata tu bila shida. Kwa kweli amenipa somo, na nahisi ana ajenda ya siri sasa.
 
Wadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko fresh financialy basi jioni anione nimkopeshe kama elfu 50,maana anadai ana pesa ya kula leo na kesho tu, amenisisitzia hata ka sina nimfanyie maarifa hata kwa kumkopea kwa marafik zangu ili apate pesa ya kusurvive atleast kwa wiki 2,sa najiuliza deni langu la nyuma hajanilipa na wala hajawahi kuliongelea,afu bado anataka nimkopeshe tena,kikwel pesa ya kuweza kumsaidia ninayo bt nahofia isije ikawa bad debts,sa wakubwa mnanishaurije nimsave au nimpotezee,maana sijamjibu chochote hadi sa hvi na nitumie kaujanja gani kumkumbushia lile deni la nyuma pasipo kumfanya ajisikie vibaya?

Mwambie akope kny ike 80 uliyompaga!
 
Unajua nyie watu wengine wa ajabu sana! Haya maelezo yako ni nusu, hujatuambia unafeel nini kwa huyo dada mpk ushindwe kujua namna ya kudai fedha zako. Kwa kifupi tu huyo mwanadada keshakuona 'mwepesi' wa kukolea maneno kiasi unaweza kukopa ili umpe yeye. Na kama ni wa karibu basi ujue kutongoza sio mpk ulazimishwe kwa mikopo, ANAKUTAKA au ANAKUBANDUA kidogo kidogo
 
aisee hiyo 80 hairudi kabisa...we mwambie umechacha,kwani hana marafiki wengine wakuwakopa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom