Niandikeje mabango ya kubeba kesho kwenye mkutano wetu (CCM) pale Jangwani a.k.a. Chadema-square?

andika hv ''wao matajiri sisi masikini''zen 'jino moja mswaki wa nini'hlf '2015 mwisho wa filamu'
 
andika hivi
"MIGOMBA YOTE INA RANGI GANIIIIIIII?"

Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiio? Kijaniii.

Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiii? Kijaniii.

Pig makofi kwa chama cha Maponduzi, CCM Oyeeeeeee.
 
Andika: :horn:

CCM TEMEMALIZWA NA MAFISADI,TUJIANDAE KUWA CHAMA PINZANI 2015!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Andika hivi chama Imara,Nguvu daima,Mapinduzi atutegemei mwaka 2015.
CCM oyoeee!
 
Andika hivi;
CCM TUNAJIJUA NI MAFISADI,
TATIZO HATUNA PENGINE KWA KULA!!
 
Andika "WAMEANZISHA M4C - MOVEMENT FOR CHAGA, SISI TUNA M4K - MOVEMENT FOR KWERE"
au andika "VUA GAMBA VAA GWANDA KAMA MILLYA"
 
andika WATANGANYIKA WAMESTUKA KUWA TUNAWATAPELI LAKINI VIONGOZI MSIJAMBEMAPUTO TUTATUMIA POLISI KUWAKALISHA
 
Andika 'msitishwe cdm ni siafu ndani ya nguo tulizovaa tuendelee kuvumilia, hatuvui kamwe' nyinyiem oyee
 
Back
Top Bottom