Niambieni Qualifications za kuwa mtangazaji wa Clouds fm

Aina ya wasikilizaji na Redio/Tv

1:- ITV/Radio 1--Wasomi ,Maprofesa,wanaopenda maendeleo

2.:--Clouds FM--Vijana U-20,Wapenda umbea,Story za town ambazo pia hazikusaidii lolote,Madereva daladala,Mashankupe,

3:--Efm-Vijiweni,Bajaj ,ma haouse boy

4:-TBc --Madereva wa serikali tena kwa kulazimishwa ,wastaafu ambao hawana cha kupoteza bali kusikiliza hekaya .

6:-Star tv---Wasukuma na wahaya ,hawa jamaa habari za michezo wako safi ila kitaifa hamna kitu.
kwenye orodha yako ondoa hao radio 1 na itv ni upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom