Niambieni hapa ni wapi ?

hapo ni usa river Arusha njia ya kwenda Ngurdoto na Arusha national park . na ndio njia ya kwenda kwa kaka yenu bucho.
mshindi ni
Jhung tiao asubiri pm kwa maelekezo zaidi.
 
Jamani.Arusha yangu kwanini wewe ni mzuri hivi nilizani ni Amerika eti nikataka na mimi nipate zawadi ya Bucho.... lol
 
Kumbe kwetu pzuri....nimeshapakumbuka..........ninayo hamu.....

...zawadi plz
 
hongereni wooooote mliojaribu hii ni bongoland burudani saaaaaaaaaaana
 
Back
Top Bottom