bucho JF-Expert Member Jul 13, 2010 5,113 3,116 Apr 13, 2012 #1 atakayeweza kuniambia hapa ni wapi nampa zawadi .
Kongosho JF-Expert Member Mar 21, 2011 35,999 24,163 Apr 13, 2012 #2 Ni barabarani. kwenye ile misitu ya kupandwa ya iringa.
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,603 68,511 Apr 14, 2012 #5 Hapo ni Samora Avenue picha hii ilipigwa miaka ya 90's
Gabmanu Senior Member Feb 9, 2012 161 9 Apr 14, 2012 #8 Nashangaaaa watu mnabishania road ya kwenda kwe2!
M Mmwaminifu JF-Expert Member Oct 15, 2010 1,129 302 Apr 14, 2012 #9 Kongosho said: Ni barabarani. kwenye ile misitu ya kupandwa ya iringa. Click to expand... Mkuu una uzoefu na mitaa hiyo? Ila naona kama sio vile?
Kongosho said: Ni barabarani. kwenye ile misitu ya kupandwa ya iringa. Click to expand... Mkuu una uzoefu na mitaa hiyo? Ila naona kama sio vile?
ENZO JF-Expert Member Sep 30, 2010 4,242 1,736 Apr 14, 2012 #10 King Kong III said: Hapo ni Samora Avenue picha hii ilipigwa miaka ya 90's Click to expand... Mh!! kweli wewe king kong 3 ....... sipati picha posta palikuaje!!
King Kong III said: Hapo ni Samora Avenue picha hii ilipigwa miaka ya 90's Click to expand... Mh!! kweli wewe king kong 3 ....... sipati picha posta palikuaje!!