Niachieni CCM yangu

CHIMPANZEE

Member
Mar 30, 2011
98
10
Hivi watu wa Tanzania mbona hamna shukurani? CCM imekutoeni mbali, kumbukeni CCM imezaliwa na TANU na ASP, kwa hiyo Bila CCM watu wa bara na visiwani msingepata uhuru.

Mazuri yote mnayoyaona yanatokana na CCM, elimu uliyonayo ni CCM, maisha yako ya zamani na sasa ni CCM, uhuru wa kuongea, kuabudu na vyombo vya habari ni CCM, jamani mbona mnalaumu uongo?

Kumbukeni hata hivyo vyama vyenu vya siasa mnavyoviita upinzani bila CCM visingekuwepo. Loh! niachieni CCM yangu.

Watu gani nyie msio na shukurani, baba ni baba tu, hata siku moja bega halizidi kichwa hata kama linaonekana ni kubwa. TCCM tutashinda siku zote na miaka yote.

Nawasilisha.
 
ukiongea upupu ni kujibiwa upupu,
ngoja nikuandalie msosi kwanza.............
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Wanavyochukua kodi zetu mbona sisi hatuwambii tumewatoa mbali hao chama cha misukule? Tunawalipa watuletee maendeleo wao wanageuka kuwa wezi halafu unaleta mambo yako ya blah blah hapa. Kama wewe hiyo ccm imekutoa mbali kaiweke kabatini kwako uwe unaiangalia kila unapotaka kufanya hivyo!
 
you are absolutely correct,.....
baba akizeeka humpisha mtoto kusonga ugali yeye anakaa pembeni akisoma uhuru na Daily News kwa mafao,...
kama anang'ang'ania kazini hataki kuwapisha wenye speed 240 hana budi kusombwa na kifaru hata kama ni tingatinga unaua battery inashindwa kuwaka....unanipata mkuu....sidhani...muulize ma-rope sr then ma-rope jr atakujibu kwa jibu rahisi tuu.
 
Baba anataka aishi miaka yoote ikifika wakati itakufa tuu hakuna jinsi mkuu!
 
Hivi watu wa Tanzania mbona hamna shukurani? CCM imekutoeni mbali, kumbukeni CCM imezaliwa na TANU na ASP, kwa hiyo Bila CCM watu wa bara na visiwani msingepata uhuru.

Mazuri yote mnayoyaona yanatokana na CCM, elimu uliyonayo ni CCM, maisha yako ya zamani na sasa ni CCM, uhuru wa kuongea, kuabudu na vyombo vya habari ni CCM, jamani mbona mnalaumu uongo?

Kumbukeni hata hivyo vyama vyenu vya siasa mnavyoviita upinzani bila CCM visingekuwepo. Loh! niachieni CCM yangu.

Watu gani nyie msio na shukurani, baba ni baba tu, hata siku moja bega halizidi kichwa hata kama linaonekana ni kubwa. TCCM tutashinda siku zote na miaka yote.

Nawasilisha.

Kweli imetutoa mbali ndio maana imechoka sana na tusiopangalia inaweza kufia njia. Kwa hiyo tuipumzishe hapa ilipotufikisha ili chama kipya chanye nguvu nacho kiendelee na safari. Safari yetu ni ndefu mno na hakuna anayejua mwisho wake isipokuwa mungu pekee.
 
yani kama ni kuchoshwa na mambo Ccm wanayoyafanya basi mi nimo..Redy 4 anything,please toeni mawazo ya kuwatoa hawa wa2 madarakani...
 
we, we, we, we chunga sana nimeongea upupu mimi!!!! CCM ndio chama pekee kinachoweza kuiongoza nchi hii. Bila CCM hakuna nchi bwana. uko hapo?
ukiongea upupu ni kujibiwa upupu,
ngoja nikuandalie msosi kwanza.............
 
Sio CCM inayochukua kodi, CCM inaongoza nchi wanaochukua kodi ni watu tena asilimia kubwa ni wale wapinzani wa CCM ili waweze kuichafua. CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi kinachotawala nchi kwa demokrasia ndugu yangu, umenielewa?
Wanavyochukua kodi zetu mbona sisi hatuwambii tumewatoa mbali hao chama cha misukule? Tunawalipa watuletee maendeleo wao wanageuka kuwa wezi halafu unaleta mambo yako ya blah blah hapa. Kama wewe hiyo ccm imekutoa mbali kaiweke kabatini kwako uwe unaiangalia kila unapotaka kufanya hivyo!
 
Hakuna humu ndani mtu aliyekuwa na mawazo na fikra pevu kama Mwalimu, kama yupo anyooshe mkono. Na yeye Mwalimu aliisha sema ' BILA CCM IMARA NCHI ITAYUMBA' na ndilo linalo dhihirika hivi sasa
 
Hata siku moja ng'ombe hazeeki maini, fikra za chama hazizeeki, watu wanazeeka na kuzaliwa wengine, ndio maana hata sasa unatumi8a jina la babu yako na kizazi chako kijacho kitaendelea kutumia jina hilo, CCM ndio chama pekee cha kuongoza nchi waelimishe na wengine.
you are absolutely correct,.....
baba akizeeka humpisha mtoto kusonga ugali yeye anakaa pembeni akisoma uhuru na Daily News kwa mafao,...
kama anang'ang'ania kazini hataki kuwapisha wenye speed 240 hana budi kusombwa na kifaru hata kama ni tingatinga unaua battery inashindwa kuwaka....unanipata mkuu....sidhani...muulize ma-rope sr then ma-rope jr atakujibu kwa jibu rahisi tuu.
 
hii avatar ya speaker inaniacha hoi sana...back to topic, ww ccm huijui na hyo sh 500 waliyokupa uwatetee humu watakudai siku wakiachia nchi
 
Hapo umechemka mkuu wangu. Unatakiwa kujiunga na CCM ili chama kipate nguvu mpya na si kuingiza chama kingine kuongoza nchi. Umenielewa?
Kweli imetutoa mbali ndio maana imechoka sana na tusiopangalia inaweza kufia njia. Kwa hiyo tuipumzishe hapa ilipotufikisha ili chama kipya chanye nguvu nacho kiendelee na safari. Safari yetu ni ndefu mno na hakuna anayejua mwisho wake isipokuwa mungu pekee.
 
Kwe kweli wewe ndio umepotea kabisaaaaaaaaaaaa. Ivo wewe huna mzazi? nyie ndio mnaoua wabibi wenye macho mekundu mkisingizia eti ni wachawi. CCM ndio baba na ndio mama hakina mpinzanii.
yani kama ni kuchoshwa na mambo Ccm wanayoyafanya basi mi nimo..Redy 4 anything,please toeni mawazo ya kuwatoa hawa wa2 madarakani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom