Jamani naomba msinichoke!!!! Nimeajiriwa kwenye kampuni moja hivi Nina mwezi sasa ila bosi ana kejeli.matusi. ni mkali kiasi kwamba hana jema hata ujipinde vipi hana shukrani!!! Ukiamka asubuhi unaanza kuwaza Leo kazin itakuwaje!!!! Japo kazi hakuna siyo kwa huyu bosi!!!! Naombeni mnishauri kabla sijafanya maamuzi!!! Asanteni