Nia yao ni ipi hasa?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Unakuta girls wa siku hizi underwear zao zina kamba nyembamba ambazo zinafunikwa na makalio,kwa hiyo makalio yanakuwa nje na kamba imefunikwa na mfereji wa makalio,sasa hapo inavaliwa kwa sababu gani?kufunika makalio au makalio kufunika underwear?
 
Biashara matangazo! Ndio maana mchezo wa tigo umekuwa common sana siku hizi. Avae chupi kubwa utajuaje kama makalio yake ni malaini na akitembea huwa yanacheza/tingishika?
 
Mkuu sijui biashara matangazo au maendeleo
Biashara matangazo! Ndio maana mchezo wa tigo umekuwa common sana siku hizi. Avae chupi kubwa utajuaje kama makalio yake ni malaini na akitembea huwa yanacheza/tingishika?
 
zamani unafungua chupi kuona makalio,leo unafungua makalio kuona chupi...new technology mkuu...
 
my dear
naamini inatwa G - string..

zinavaliwa kwa sababu mbali mbali
sababu moja na kubwa ni hiii wengi
tunapenda kuvaa nguo tight na hatutaki
miraba ya chupi ionekane basi kuna hiyo
G- string au kuna body shape ambazo zimekaa
kama skintight ... ( chaguo ni la mvaaji)..

sababu nyingine ya G- String ni
easy accesses ukiwa uwanjani ..
( hii inatokana na upande wa pili kuna wengine hawataki
wapenzio wavae)
 
So u mean uvaaji wake unategemeana na matukio?
my dear
naamini inatwa G - string..

zinavaliwa kwa sababu mbali mbali
sababu moja na kubwa ni hiii wengi
tunapenda kuvaa nguo tight na hatutaki
miraba ya chupi ionekane basi kuna hiyo
G- string au kuna body shape ambazo zimekaa
kama skintight ... ( chaguo ni la mvaaji)..

sababu nyingine ya G- String ni
easy accesses ukiwa uwanjani ..
( hii inatokana na upande wa pili kuna wengine hawataki
wapenzio wavae)
 
But huwa inapendeza sana,lakini sio kusitiri makalio,halafu nadhani wanene haiwapendezi.....teh teh...{joking}

haijatenenzwa kusitiri makalio..
makalio yana sitiriwa na suruali na skerti ...
unene wa wapi dear?? .. kama ni wa kule chini
nyuma mmmmhhh tuache tu teh teh teh teh
angalia tena lol
 
haijatenenzwa kusitiri makalio..makalio yana sitiriwa na suruali na skerti ...unene wa wapi dear?? .. kama ni wa kule chini nyuma mmmmhhh tuache tu teh teh teh teh angalia tena lol
Khaaaaa we mwanamke!Embu kua na aibu kidogo....!
 
Just imagine kama girl ana kitambi halafu amevaa G-string,sidhani kama itavutia kivile,kama she is slim au namba 8 halafu hana kitambi hata asiwe na unene wa kule nyuma yaani inafiti mana huwa inadatisha sana ikiwa na sare yake kule kwenye boobs. teh teh teh {i'm just thinking}
haijatenenzwa kusitiri makalio..
makalio yana sitiriwa na suruali na skerti ...
unene wa wapi dear?? .. kama ni wa kule chini
nyuma mmmmhhh tuache tu teh teh teh teh
angalia tena lol
 
Najua wote hamwazi kama mimi ndo maana hatuendelei wala hatutakaa tuendelee mpaka mtakapoanza kufanya hivyo!

teh teh teh teh ..
kila mtu afikirie kama wewe
si kihama..
akili yenyewe yakuazima ..
tulia basi kidigo mami ..
acha fujo usizoziweza..
 
Back
Top Bottom