Ni zipi haki za mtu mwenye tunuku ya kidplomasia?

MBILIA

Member
Oct 13, 2012
33
17
Naombeni kujua haki za raia wa Tanzania mwenye kutunukiwa u-diplomasia ktk jamii yake na ktk kimataifa pia. Mf. all wives and husbands of Tanzania judges are automatically ranked diplomats.
 
Wewe kwani unaishi nchi gani? Kama ni Mtanzania na unaishi Tanzania, forget it. Huna hadhi yoyote ya kidiplomasia, hata kama mume wako alikuwa balozi akiwa na miaka 18, na ukoo wake mzima walikuwa mabalozi na majaji wakuu wakiwa na miaka 18. Kwa kifuoi, hadhi ya kidiplomasia ni nje ya nchi na ni kwa active duty diplomats tu, siyo ex-diplomats, least of all their spouses.
 
Hujaeleweka. tiririka vizuri plz
 
Back
Top Bottom