Ni Zanzibar ipi wanaitaka?

Zanzibar wanajidanganya kuwa kwa kujitenga na Bara ndio watapata maendeleo ya haraka.

Siasa za dunia sasa zimebadilika. Si tena kati ya Ukomunist na ubepari. hivyo misaada kwa kigezo cha kuwa katika strategic area haipo tena.

Zanzibar wasipochunga wanaweza wakajitenga na baada ya hapo wakaingia katika mgogo wa kupigania madaraka kati ya wapemba na waunguja. Hayo hayajitokezi sasa hivi kutokana na Muungano. wale ambao wataona kama waliowekwa pembeni (sidelined) kwa muda mrefu watataka kulipiza kisasi. na huo utakuwa ni mgogoro mbaya sana.

Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. wasipochunga hata kile kinachoshabikiwa kwa sasa kama muafaka wa serikali ya umoja wa kitaifa hakitaheshimiwa na nchi itajafika mahali itakuwa haitawaliki. Yetu macho.

Seif is very clever.
 
Kama "Mkono wako wa kulia unakusababisha utende dhambi, basi UUKATE, ni heri kuingia mbinguni ukiwa na mkono mmoja kuliko kwenda motoni na mikono miwili"
 
Zanzibar wanajidanganya kuwa kwa kujitenga na Bara ndio watapata maendeleo ya haraka.

Siasa za dunia sasa zimebadilika. Si tena kati ya Ukomunist na ubepari. hivyo misaada kwa kigezo cha kuwa katika strategic area haipo tena.

Zanzibar wasipochunga wanaweza wakajitenga na baada ya hapo wakaingia katika mgogo wa kupigania madaraka kati ya wapemba na waunguja. Hayo hayajitokezi sasa hivi kutokana na Muungano. wale ambao wataona kama waliowekwa pembeni (sidelined) kwa muda mrefu watataka kulipiza kisasi. na huo utakuwa ni mgogoro mbaya sana.

Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. wasipochunga hata kile kinachoshabikiwa kwa sasa kama muafaka wa serikali ya umoja wa kitaifa hakitaheshimiwa na nchi itajafika mahali itakuwa haitawaliki. Yetu macho.

Seif is very clever.

Seif anawaingiza kwenye mkenge, matatizo yake hayataonekana sasa hivi, as long as wako ndani ya Muungano! Wakitoka tu watajua kwamba wao si wamoja tena! Historia itawatafuna kisawasawa!
 
Tanganyika + Zanzibar = Tanzania sasa kama Zanzibar ni nchi je Tanzania ni nini.Tupeni na Tanganyika yetu basi!!!
 
huu unaweza ukawa ukweli mkweli kabisa.........ni suala la kusubiri wakati tu.....tujuavyo hawa wanaojiita waunguja na wapemba kamwe huwa hawapikiki kwenye chungu kimoja.....................

ni maswali magumu sana kujibika, nasema ni magumu kwa sababu wao 'Wazanzibar' siwamoja, na hawajawahi kuwa na umoja wakiwa nje ya muungano, (Kabla ya muungano), wana matabaka ya Rangi na ujuwaji, kuna kundi la watu ni bora zaidi ya wengine ambao wanaamini asili yao ni arabuni, kwa kuangalia vigezo vingi vya Zanzibar, nadhani itatokea Zanzibar mpya ambayo haikuwepo mwanzo nadhani Hiyo Zanzibar inaweza kuwa JAMUHURI YA MUUNGANO YA ZANZIBAR Namaanisha muungano wa Pemba na Unguja, Na huo Muungano utakuwa ni wa serikali tatu, serikali ya Pemba ambayo itakuwa na support ya arabuni na serikali ya unguja ambayo itakuwa na support ya "Tanganyika", pamoja na hayo huo muungano hautadumu miaka 46 kama ya huu muungano wa Tanzania na mwisho wa siku patakuwa na nchi Mbili ambazo si Zanzibar
 
Vyema kabisa mkuu Kibs! Labda niulize swali jingine; je, hamna historia yoyote ile kwamba Tanganyika, Pemba, Unguja na Mafia ni wamoja na waweza kuwa jamii moja kama nchi?!
Mkuu Steve, Historia hiyo ipo kwa mapana na marefu, tatizo kubwa labda ni maslahi na kasumba tu. Ukirudi kwenye historia utaona kwamba visiwa hivyo vilikuwa ni sehemu ya mwambao wa Tanganyika na vilitumiwa na wavuvi wa karne hizo. Aidha wengine wakaweka makaazi yao huko. Wengine waliingia huko kutokana na utumwa na wengi wa kundi hili walitoka ndani zaidi ya Tanganyika, kuna kundi la wafanyabiashara toka Tanganyika, Arabuni, Uhindini, Ngazija na n.k Kulikuwa na kundi la watafuta kazi walioingia huko toka sehemu mbalimbali za bara.

Hivyo kimsingi Pemba, Unguja na Tanganyika wanaweza kuwa ni wamoja na kuwa nchi moja, iwapo wateweza kukumbuka historia yao isiokuwa na chumvi ya mkoloni.
 
Hii ndiyo imani kubwa ya wazanzibar wanapotaka kujiengua kwenye muungano...

-wanaamini kuwa wanamafuta mengi sana ambayo wanataka kufanya kwa kila hali bara wasihusike kwa namna yoyote ile
-hawa watu ni wavivu sana wa kufanya kazi na kuenda shule, wanataka wajiengue ili wajiunge na oic kwani zanzibar ni nchi ya kiislam na wanategea kupata misaada mingi kutoka huko
-suala lingine ni la kidini nba kiitikadi zaidi yaani kuwe na strictly misimamo ya kiislam ambayo mwisho wa siku lazima itajenga ugaidi kwenye hii kanda yetu ya africa mashariki
-
-
 
Wazenj wanasahau kwa kujaribu kutenga bara, watafika hatua wajibague wao wenyewe.

Sikuwa najua kuwa kuna matabaka pia kati yao wenyewe, this is so funny!!!
 
Zanzibar wanajidanganya kuwa kwa kujitenga na Bara ndio watapata maendeleo ya haraka.

Siasa za dunia sasa zimebadilika. Si tena kati ya Ukomunist na ubepari. hivyo misaada kwa kigezo cha kuwa katika strategic area haipo tena.

Zanzibar wasipochunga wanaweza wakajitenga na baada ya hapo wakaingia katika mgogo wa kupigania madaraka kati ya wapemba na waunguja. Hayo hayajitokezi sasa hivi kutokana na Muungano. wale ambao wataona kama waliowekwa pembeni (sidelined) kwa muda mrefu watataka kulipiza kisasi. na huo utakuwa ni mgogoro mbaya sana.

Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. wasipochunga hata kile kinachoshabikiwa kwa sasa kama muafaka wa serikali ya umoja wa kitaifa hakitaheshimiwa na nchi itajafika mahali itakuwa haitawaliki. Yetu macho.

Seif is very clever.

dua la kuku halipati mwewe hayo ndio matamanio ya mtanganyika siku zote kwa mzanzibar.
 
They real take our time!

I will be the last person to say yes to the so called MUUUNGANO....ni jambo linalotugharimu sana wabara hasa muda wa kusikiliza kelele za cha chura kisimani...viongozi wetu kama kuna jambo mnalohofia hata mnaogopa kuvunja muungano mtujuze....kam hofu ya ughaidi tuangalie namna y kuudhibiti tu...lakina hatumna budi kuamua kuijenga upya tanganyika yetu...nchi kubwa mno yenye kila maliasili hii hata WAPEMBA WANAJUA....

Lets forget about znz! wanatuchosha sana....tunaunda wizara na tume zinazokula hela nyingi kwa ajili ya muungano!!! hatutaki kuamini kuwa ndoa hii imeshindikana...........SI KWAMBA NACHUKIA MUUNGANO...AAAH NAPENDA MUUNGANO LAKINI MUUNGANO WENYE MARIDHIANO SIO MALAZIMISHANO.....tulidhani baaada ya kujwa na bendera watapumzika waaaapi!!!!

Sasa kila kukicha wanachomoka taraatibu kwa maneno mengi na kejeli kwanini tunaendelea kuwanao WASOSHUKRANI HAWA! LET THEM GO GO GO GOOOOOOOO
mix with yours
 
Hakuna mkataba wa aina yoyote, zaidi ya historia kuwa Zanzibar visiwa vya Pemba na Unguja, zaidi Zanzibar ilikuwa ni pamoja na kisiwa cha Mafia.

safi kabisa.. kwa sababu Zanzibar "yetu" sijui kama wanamaanisha na Mafia!
 
Mzee Mwanakijiji,
Umesahau Zanzibar ya John Okello ndio ya Mapinduzi kabla ya Muungano!
 
Mzee Mwanakijiji,
Umesahau Zanzibar ya John Okello ndio ya Mapinduzi kabla ya Muungano!

hahaha duh umenikumbusha.. nilishasahau maana BinMgen anaitaka hiyo! Itabidi sijui wamjengee mnara wa kumbukumbu Field Marshall Okello?
 
Back
Top Bottom