Chilisosi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,051
- 747
Slaa alikuwa kwenye mnuso wakati nape alikuwa anapokelewa sehemu fulani kwenye sherehe, kuweka kapeti sio tatizo ni maamuzi ya waandaaji, au mlitaka awe anatembelea magoti ndio mseme yuko karibu na wananchi, mie chadema lakini hii naipuuza, bigup wantuzu umeonyesha ukomavu wa kisiasamsipende kitu kwa kupitiliza angalieni picture imepigwa wapi na mila / desturi za watu wa hapo zikoje , nnacho kiona hapo ni athari za dini songea wamempokea nape kama mkombozi wakimnukuu issa bin mariam alivyopokelewa akiingia yerusalemu ni desturi imejengeka kwa nduguzetu hawa na huko kusini hali ni hiyo hiyo tunafahamu sote sisi waislamu mambo yetu twayaendeshaje pale tujadilipo jambo muhimu , kula na kadharika ... sisi hukaa chini japo sijui muktadha halisi wa hiyo pic ilipigwa wakati gani maana naona wanaoonekana kwa nyuma ya hiyo picha nikama waliokuja kukshangaa katibu slaa wakati kwenye picha ya mwenezi nape wote wanashiriki kwenye tukio husika