Ni yupi haswa ananyonywa katika muungano?

The third

Member
Nov 21, 2011
45
1
Jamani tukubali au tukatae mda umefika watu inatakiwa tuwekane wazi kwajinsi mambo yalivyo badilika wazanzibar wamegundua kuwa wao ni watumwa wa tanganyika wameamua kushituka lakini watanganyika wameshindwa kukubali kuwa wao ni wakoloni na wanataka waendelee kuwa wakoloni katika koloni lao la zanzibar bora tuwaachie awa watumwa wetu wajitawale kwani wamesha shituka kwanza awana faida na sisi watanganyika bora wachape mwendo.
 
Kwanza hakuna taifa la Tanganyika kwa sasa duniani na wazanzibari hawajawahi kuwa koloni la tanganyika wala watumwa, tatizo ni usiri na uoga kwa muungano ulioko utadhan tulitengeneza dude la hatari
 
Kakobe, Mzee wa Upako, Mwingira na wachungaji wengine mnaoombea watu wakapona ulemavu wao, tafadhalini mwombeeni na huyu UBONGO utoke makalioni uhamie kichwani.
 
Pamoja na kuwa upande wa Zanzibar unaonekana ni nchi, una rais wao, bendera yao, mahakama yao, wimbo wa taifa lao, katiba yao, bunge lao, vikosi vyao vya ulinzi wa wananchi, na dini yao, bado watu hawa wanalalamika kuwa wanamezwa huku Upande wa Bara unalalamika kuburuzwa na kumezwa katika Muungano huu ulioua Taifa lao la Tanganyika. Hawana bendera, hawana wimbo wa taifa, hawana rais, hawana katiba wala bunge lao. Kinachoonekana ni kuwa kila kitu cha Tanganyika ni cha Zanzibar na si kila kitu cha Zanzibar ni cha Tanganyika.

my take mi nafikiri waliokuwa wanatakiwa waandamane ni watanganyika na wala siyo wazazanzibar maana kiuhalisia zanzibar au wazanzibar wana wawakilishi kwenye vyombo vya maamuzi tofauti na watanganyika.Nafikiri ni wakati wa kuidai Tanganyika yetu ili kusudi wote twende sawa
 
Wazanzibari walipigania uhuru wao wenyewe bila kupata masaada wa tanganiyika kwanini wasitoe maoni yao ya kuwa na muungano au hasha. kama muungano hautoshelezi matakwa yao kwanini wasijitenge? urusi ilikuwa na muungano wa nchi kibao lkn mambo hayakuwork out nchi nyingi zikajitenga na muungano iwe zanzibar. sababu ni zile zile watawala waliopo wa CCM wameshindwa kukidhi matarajio ya wanzabari. watu kuhoji muungano ni uasi, na kama CCM wataendelea kuongoza nchi kwa ramli hata mikoa ya tanzania bara itajitenga. CCM are walking dead, just matter of time.
 
hakuna kazi ngumu kama kubeba toto ambalo halitaki kubebwa hata kama anayechoka ni wewe.
zanzibar hawana haja na mbeleko lenu hata wanataka kulichoma moto.
maswali ni mewngi kama wabara hamna faida(na kweli hamna)kwa nini mnawalazimisha?wenzenu wanatamani vya bure kutoka uarabuni ninyi mnawazuia kwa nini?
kama ni kazi si mfanye peke yenu?
kwa nini kumlazimisha mtu hata kama kuna mahali anaona vya bure hata kama vitamwumiza baadae kwa si nyie mtakayeumia.
 
kwani hapa ni muungano au Bara kamuoa Mzanzibari sasa anataka talaka??tuwape talaka moja wakikwama watarudi, ni kama ndoa ambapo mke pamoja na kuwa hana mchango anadai mali zote za familia ni za wote hata ka,a alikukuta wewe ni milionea, tuwaache jamani wajifunze mtaani wakikwama watarudi tu
 
hakuna kazi ngumu kama kubeba toto ambalo halitaki kubebwa hata kama anayechoka ni wewe.
zanzibar hawana haja na mbeleko lenu hata wanataka kulichoma moto.
maswali ni mewngi kama wabara hamna faida(na kweli hamna)kwa nini mnawalazimisha?wenzenu wanatamani vya bure kutoka uarabuni ninyi mnawazuia kwa nini?
kama ni kazi si mfanye peke yenu?
kwa nini kumlazimisha mtu hata kama kuna mahali anaona vya bure hata kama vitamwumiza baadae kwa si nyie mtakayeumia.

Wewe una matatizo makubwa sana,

Zanzibar haibebwi! Zanzibar ni mwenza katika muungano.

Hivi kwa nini "Mitanganyika" inakuwa vipofu?
 
Pamoja na kuwa upande wa Zanzibar unaonekana ni nchi, una rais wao, bendera yao, mahakama yao, wimbo wa taifa lao, katiba yao, bunge lao, vikosi vyao vya ulinzi wa wananchi, na dini yao, bado watu hawa wanalalamika kuwa wanamezwa huku Upande wa Bara unalalamika kuburuzwa na kumezwa katika Muungano huu ulioua Taifa lao la Tanganyika. Hawana bendera, hawana wimbo wa taifa, hawana rais, hawana katiba wala bunge lao. Kinachoonekana ni kuwa kila kitu cha Tanganyika ni cha Zanzibar na si kila kitu cha Zanzibar ni cha Tanganyika.

my take mi nafikiri waliokuwa wanatakiwa waandamane ni watanganyika na wala siyo wazazanzibar maana kiuhalisia zanzibar au wazanzibar wana wawakilishi kwenye vyombo vya maamuzi tofauti na watanganyika.Nafikiri ni wakati wa kuidai Tanganyika yetu ili kusudi wote twende sawa

Wote tunanyonyana!
 
Jamani tukubali au tukatae mda umefika watu inatakiwa tuwekane wazi kwajinsi mambo yalivyo badilika wazanzibar wamegundua kuwa wao ni watumwa wa tanganyika wameamua kushituka lakini watanganyika wameshindwa kukubali kuwa wao ni wakoloni na wanataka waendelee kuwa wakoloni katika koloni lao la zanzibar bora tuwaachie awa watumwa wetu wajitawale kwani wamesha shituka kwanza awana faida na sisi watanganyika bora wachape mwendo.

The 3rd lazima wewe ni muhaya maana naona kwenye H unaondoka na A well bado una point
 
Kwa taarifa yenu hakuna watu wanaotunyonya kama Wazanzibari. Angalia ktk Board ya Mikopo ya elimu ya juu wenzetu wanapata double(serikali yao na board ya muungano) for undergraduates. Vile vile serikali yao ina-finance graduate studies, kuthibitisha hilo nendeni Mlimani na UDOM mtaona kuwa kiuwiano Wazanzibari wanasoma (MA&MSc)ni wengi kuliko Wabara.Mbali na hayo ktk nyanja za kimataifa (uwakilishi)kwa kuwa wao ki-population ni wachache hali ni vivyo hivyo, iwe kwenda masomoni, mabalozi,etc. Pia wao wanaruhusiwa kununua na kumiliki ardhi huku bara lakini sisi ni haramu huko kwao. Wanawabunge wao na wa muungano. Ndiyo maana CCM Zanzibar wanatetea muungano kwa kujua namna wanavyofaidika.
 
Wewe una matatizo makubwa sana,

Zanzibar haibebwi! Zanzibar ni mwenza katika muungano.

Hivi kwa nini "Mitanganyika" inakuwa vipofu?

Unatakiwa ukapimwe akili wewe hivi inakuja akili mwako kuwa kuna usawa kati ya watu milioni arobaini na watu milioni mbili? Kwa mtazamo wangu mimi Tanzania bara tunapata hasara kuilazimisha zanzibar kuwa kwenye muungano kwanza hata uhuru wa zanzibar ni wa kumwaga damu kwa maana hiyo laana ya damu bado inawatafuta wasituletee huku na fujo zao waachieni mkoa wao mnawang'ang'ania wa kazi gani?

Mpaka waanze kujitoa muhanga ndiyo mjue hawataki!!!! Ujinga wa watu milioni mbili ulete madhara kwa watu milioni arobaini tutakuwa tuna akili au tuna matope vichwani mwetu! FUNGASHENI NA ONDOKENI TUONE KAMA SULTANI HAJAARUDI KUWATANDIKA BAKORA
 
Jamani tukubali au tukatae mda umefika watu inatakiwa tuwekane wazi kwajinsi mambo yalivyo badilika wazanzibar wamegundua kuwa wao ni watumwa wa tanganyika wameamua kushituka lakini watanganyika wameshindwa kukubali kuwa wao ni wakoloni na wanataka waendelee kuwa wakoloni katika koloni lao la zanzibar bora tuwaachie awa watumwa wetu wajitawale kwani wamesha shituka kwanza awana faida na sisi watanganyika bora wachape mwendo.

jamani hawa kina Hami J hawana faida yoyote na tanganyika,
zaidi ya utalii na hizo karafuu hamna isue kiuchumi,ni ndoto za mwendawazimu kuota misaada kutoka uarabuni baada ya kuvunja muungano.
Kinacho wasumbua ni udini pamoja na shule pia ni tatizo!
ukiwafutilia hawa jamaa ni wabinafsi sana hata wanapokuja vyuoni huku bara,maisha yao ni ki Hami J hawapendi kujichanganya na wabara kabisa.
ila kumbukeni maneno ya baba wa taifa nyerere alisema"dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu haiishii hapo,mkimaliza uzanzibari na utanganyika badae! mtahamia kwa upemba na uunguja"
kumbukeni hilo
 
Zanzibar wananyonywa kwani wana matiti kama wanayo wayafufunike tumechoka na kelele zao oh muungano mbaya hatutaaki wabara sasa wamejazana huku wanafanya nini si warudi kwao ili wakisema muungano mbaya ni kweli mbaya kwani wamekuwa waking'ang'ania bara na hali hawataki wabara waende kwao
 
Back
Top Bottom