Ni wimbo gani unaokuboa?

1. Tanzania Tanzania- yaani hadi nimeishausahau kwa jinsi nisivyoupenda
2. mungu ibariki Tanzania - ukianza kuimbwa tu naweka mchiriku
3. Nyimbo zote za Komba- akiimba tu nakumbuka kifo cha mwalimu na nahisi rais kafa- hapo huwa nafurahi kidogo
 
nyimbo zote za Lady J D. Nalog off

Dah Nilijua nipo peke yangu kumbe na wewe pia, Lakini Mimi na maanisha Jaydee Maana hata Jermine Dupri ni J.D!

Waafrika ndivyo tulivyo. Sasa wewe umeshaambiwa LADY J.D, halafu unakuja na Jermaine Dupri!?!????

Ile nyimbo ambayo wameimba wanamuziki wa bongoflava ya miaka 50 ya uhuru sijui wa Tanzania; wamejitoa sana utu. Upupu mtupu.
Pia Komba nae, Twanga Pepeta nao wameimba nyimbo kama hiyo. Zote upupu tu!
 
Back
Top Bottom