Ni website gani nyingine zimeshawahi kufungiwa hapa nchini kwetu tanzanzaia?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Nakumbuka ni Jambo forums na ze utamu ndio website pekee zilizowahi kufungiwa hapa nchini kwetu.
Kimaadili, kimuonekano na kimaslahi ya taifa jambo forums ilikuwa very positive kwa mweleko wa Taifa letu ukiilinganisha na ze utamu.
je kuna website gani zaidi ya hizo mbili zilizowahi kufungiwa hapa Tanzania?
 
Wewe utakuwa huna issue zaidi ya ku-miss zeutamu swali lako mbona ushajijibu na halina jibu lingine??
 
Back
Top Bottom