Ni wazi sasa: Mbowe na Zitto hawaivi

Status
Not open for further replies.
Sahihisho: BAVICHA na Wabunge wa Viti Maalum Chadema. Hapa ndipo ulipofanyika uchakachuaji wa kikabila nusura wamtoe roho Zitto!
"kikabila nusura wamtoe roho Zitto"UMESAHAU JAKAYA KIKWETE VITI MAALUM ALIMTEUA ZAKIA MEGHI AMBAYE NI MKWEWE HUYU SI ALISHAWAHI KUKONFESS BUNGENI KWAMBA NILIDANGANYWA NA WASHAURI WANGU WA WIZARA? MTAISOMA NAMBA TUMEJIPANGA MLIKUJA NA UDINI,UKABILA VYOTE VIMESHINDIKANA,ZITOO WETU HAMUWEZI KUVURUGA TASISI HII NI KUBWA HAKUNA SIASA ZA MAJUNGU NI FACTS TU CDM,
 
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.

Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere.

Haiingiii akilini kwa Mbowe kumkabidhi Nyerere wakati kuna Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Zitto Kabwe.
Hii inaashiria kuwa wawili hawa hawaivi, au pengine tuseme mambo si shwari katika uongozi wa juu wa Chadema.

anguko la ghafla la Chadema kutokaTusishangae kuona na na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu.
Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.

Watu wengine bana utadhani akili zipo kwenye makalio, wewe ni magamba party sasa kama CHADEMA wanaelekea kuanguka kinachokuuma nini?
au ndio ile usoni unaichukia CHADEMA, moyoni unaifurahia??
sijawahi kuona watu wajinga kama wewe, anyway sio maamuzi yako kuiponda CHADEMA kwa kuwa unakula zile dola mbili ndio maana unabwabwaja tu hapa!
 
Wale wafugaji watanielewa vizuri. Fisi huwa anamfuata mwanadamu saa za jioni akidhani labda mwanadamu ataangusha mkona apate kitoweo na kupunguza njaa. Bahati mbaya binadamu hawaangushi mikono. Kishongo, Chadema ni taasisi.

Wewe unaonekana uko karibu na ofisi za wenye kampuni na hivyo unaambulia vinavyodondoka.
Hivyo huwezi kuona kuwa Chadema inaendeshwa kama kampuni ya familia.
Pole! siku moja utaamka.
 
Tetesi ndio msingi wa USALAMA WA TAIFA wa NCHI yako na kwingine duniani.Hata Osama alikamatwa baada ya tetesi.Acha kupotosha usemi huu kwa uvivu wa kufikiri.
Si ni tetetsi bwana. Kwanini uamini tetesi zako wakati za upande mwingine hutaki kuamini? Kila mtu anajua nani mvivu wa kufikiri kati yangu na wewe!
 
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.

Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere.

Haiingiii akilini kwa Mbowe kumkabidhi Nyerere wakati kuna Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Zitto Kabwe.
Hii inaashiria kuwa wawili hawa hawaivi, au pengine tuseme mambo si shwari katika uongozi wa juu wa Chadema.

Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu.
Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.

Wala cna haja ya kuuliza, wewe Kichaa! Pole sana
 
Si ni tetetsi bwana. Kwanini uamini tetesi zako wakati za upande mwingine hutaki kuamini? Kila mtu anajua nani mvivu wa kufikiri kati yangu na wewe!

Sorry! nimesahau naongea na mgambo pia mstaafu katibu wa jimbo moja hapa nchini.Heshima yako Mkuu,ila jaribu kusoma na kuelewa badala ya ku-cram mkuu.
 
Nape sijui anatoa wapi vilaza kama hawa!

Kama Nape mwenyewe yupo hivyo unategemea utapata watu gani aliowapa kazi ya kuibomoa CDM Mtandaoni yeye ana sifa mbili mbovu ni fisadi kwa kulipwa mishahara miwili na pili si Mwana CCM Safi hata wao wanajua hili.ni mamluki huyo hata hao waliolipwa kuifanya hiyo kazi nao hawatakawia kugeuka .
 
Sorry! nimesahau naongea na mgambo pia mstaafu katibu wa jimbo moja hapa nchini.Heshima yako Mkuu,ila jaribu kusoma na kuelewa badala ya ku-cram mkuu.
Underestimation! Shauri yako! Muulize JK mie ni nani? Wakizidiwa kwa hoja huwa wanafanya character assassnation. These are ordinary people and you don't deserve to be called "a great thinker" au Mwambie Chiligati akupeleke Kivukoni ukajifunze propaganda
 
Nadhani JK ataniambia ulikuwa msaidizi wa Ridhiwan.Usihamaki Mkuu u-great thinker ni pamoja na uvumilivu otherwise utaugua vidonda vya tumbo.
 
akikaimu Zito nafasi ya zito atakaimu nani??.......................... anampa mwingne uzoefu

Mawazo yako ni ya fasta bila hata kuyafikiria. Niambie rais anapoondoka nchini nani huwa anakaimu nafasi yake, na je huyo anayekaimu huwa hana cheo kingine?

Msukumo wa mbowe wa kufanya ivo ni chuki kubwa aliyonayo katika nafsi yake juu ya zitto, na kwahilo hatofanikiwa kamwe. Chadema kuna mdudu anaitwa ukabila+Udini+ukanda ndiye anayewatafuna sana. Zitto hata asipokuwa na hivyo vyeo atabaki kuwa jembe la kutegemewa Tz. Mwambieni Mbowe next time ampe ndesambulo ili naye apate uzoefu.
 
Vincent Nyerere ni kabila moja na Freeman Mbowe? na Vincent anatoka familia moja na Freeman Mbowe?
Kwanini usishangae Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumkabidhi Shamsi Vuai waziri wa mambo ya ndani wakati kuna utitiri wa mawiziri wengine akiwemo waziri anaeratibu sera na shughuli za serikali bungeni?

:attention:Waawuhh! Huo ndio u-soviet unaanza!! Unakumbuka Yeltsin alivyokabidhi funguo ya nuklia kwa Putin wakiwa chooni? Sasa washangaa nn yakhe!:lock1:
 
"Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu." KWELI WWE UMETUMWA SASA UKABILA UKO WAPI HAPO KATI YA VICENT NYERERE NA FREEMAN MBOWE? ANGALIA HAPA JAKAYA MRISHO KIKWETE NA RIDHIWAN JAKAYA KIKWETE YUSUPH MAKAMBA NA JANUARY YUSUPH MAKAMBA MOSES NAUYE NA NAPE NAUYE ALHAJI HASAN MWINYI NA DR.HUSSEIN MWINYI JOHN NCHIMBI NA EMMANUEL NCHIMBI JE HILI UMELIONA MENGINE UNAYAJUA NA CHAMA CHENU CHA MAGAMBA

Kigoma malima na ali Malima, Mongela na Mongela mkuu wa wilaya, Karume na karume Zenji! list ni Ndefu mkuu.
 
Kuna madude kama haya mengi tu huku mitaani kiasi yanasababisha tusiendelee kabisa! yani watu wemeshibishwa kofia na tshit za magamba wamenata hawataki tena kusogea mbele duu! kwa ufinyiu huu wa akili kama wa kishongo sijui kama tutaendelea
 
Nadhani JK ataniambia ulikuwa msaidizi wa Ridhiwan.Usihamaki Mkuu u-great thinker ni pamoja na uvumilivu otherwise utaugua vidonda vya tumbo.
Sijahamaki, ila nashangaa unavyonisingizia kustaafu wakati ndio kwanza nina miaka mitano katika Utumishi wa "Serikali yetu tukufu". Kumbe na wew ni great thinker? Hongera sana Mkuu
 
:crazy:Kimsingi hali ni tete!!! Umesahau Dr Kaborou alivyotoka cdm? Huyo dogo yumo njiani unapoona baba yako anakabidhi fedha za chakula kwa housegirl wenu badala ya mama yako mzazi ww unaelewa nn ??? majotooo!!! Yaani unauliza risasi kwa Kova?? Mbowe yupo kazini ndio maana hata jina lake alipewa na Nyerere yaani freeman meas free for all!!!! Upo hapo???
:flock:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom