Ni wazi sasa: Mbowe na Zitto hawaivi

Status
Not open for further replies.
Leo nilipoingia humu, nilitaabika kidogo kwani pass yangu ilikuwa inagoma kwa sababu sijaingia siku nyingi.

Shida yangu ni hawa watu walioingia humu wakati ni Vichwa rungu. WANAACHA AKILI NYUMBANI WANAKUJA JF. sijui kufanya nini? Vile vitu vizito humu siku hizi hamna tena.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Nini maana ya Naibu?..Naibu hakaimu, anashika madaraka hayo automatically pale mkuu anapokuwa hayupo, hasubiri kuteuliwa, alishachaguliwa kufanya kazi hiyo ya unaibu..

Mkuu umenena vyema. Kuna siku Rais Kikwete alitoka nchini akampa Magufuli kukaimu Urais wakati Dr. Bilal yupo? Hali si shwari huko CHADEMA kama sivyo basi hawajui nini maana na naibu. Kwa kufanya hivyo KUB amemdhalilisha N/KUB.
 
Vincent Nyerere ni kabila moja na Freeman Mbowe? na Vincent anatoka familia moja na Freeman Mbowe?
Kwanini usishangae Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumkabidhi Shamsi Vuai waziri wa mambo ya ndani wakati kuna utitiri wa mawiziri wengine akiwemo waziri anaeratibu sera na shughuli za serikali bungeni?

Kauvumi kama hako kapo....labda mtoa mada kaamua kuliweka hili hadharani......

'ni wazi sasa zito na mbowe hawaivi' nikadhani ndani ya thread kuna hoja kumbe kuna kioja


mix with yours
 
Mkuu umenena vyema. Kuna siku Rais Kikwete alitoka nchini akampa Magufuli kukaimu Urais wakati Dr. Bilal yupo? Hali si shwari huko CHADEMA kama sivyo basi hawajui nini maana na naibu. Kwa kufanya hivyo KUB amemdhalilisha N/KUB.
Haya sasa. Mambo yanazidi kuleta confusion? Hivi kwanini Pinda kamwachia Nahodha badala ya Lukuvi? Au Lukuvi naye hayupo? Nyie watu bwana!
 
Mkuu nadhani umeharakisha mno ku-judge. Ingekuwa vema ungefahamu kwanza sababu zilizomfanya Mbowe ampe Nyerere kukaimu nafasi yake. Halafu suala la ukabila hapa linaingiaje? Mbona sioni connection yoyote?

labda huyu jamaa anawajua hawa zaidi, kwani Vicent ni mchagga? ama ukabila kwako ni kukosa busara?
 
Imedhibitika kabisa kwamba Pinda na Lukuvi hawaivi chungu kimoja,ukusini unawatafuna!
 
oya mara mojamoja uwe unaacha kutumia hivyo viungo kufikiri uwe unatumia kichwa kilichotengwa kwa kazi hiyo na kutunza kumbukumbu! umesahau kuwa zito anatakiwa kutoa budget ya kambi pinzani? so yupo katika maandalizi, huwa hatujilimbikizii majukumu then ushindwe kuyatimiza' " think 100Times then speak 1ns, and not vice versa!"

Thanks
Anafanya kazi yake akamilishe mkataba na waliomtuma
 
Haya sasa. Mambo yanazidi kuleta confusion? Hivi kwanini Pinda kamwachia Nahodha badala ya Lukuvi? Au Lukuvi naye hayupo? Nyie watu bwana!

Lukuvi siyo Naibu Waziri Mkuu. Lukuvi ni Chief Whip Kaka. Angemuachia Lukuvi ingebidi Lukuvi amkasimishe madaraka yake ya u Chief Whip mtu mwingine!!! Kama kuna Naibu anachukua automatically.
 
Mficha maradhi,....kilio humuumbua.
Endeleeni kuficha uozo ambao umeanza kutoa uvundo.
Sielewe unachotetea...unaonekana umelewa uchadema.

Kishongo,
Unasema chama cha kifamilia ipi? Jibu hilo swali.
Pili unataka kusema chadema ni cha cha wasukuma? au unasema chama cha kabila ipi? Maana chadema ina majimbo 3 tu Moshi lakini ina majimbo 7 usukumani.
 
Tatizo la mawazo mgando kufikiri kutumia tumbo...fikiri kabla ya kusema hata jana nilikuwa namuangalia slaa chanel ten kipindi cha hamza kasongo hrs walikuwa wanajadili budget lakini cha ajabu mtanzania kapiga simu anamlaumu slaa eti aache siasa wakati slaa alikuwa anachambuwa through vitabu sio mambo ya jukwaani...tufikiri mambo ya meendeleo sio chuki binafsi
 
we hufai kupost thread huku nenda kwenye zile za kutomasana mjinga weye.kama umeishiwa hoja,nakukumbusha kuwa UKIMWI bado janga,ongelea gonjwa hilo kuliko kuweka ujinga na hisia zako,umenifanya nigundue ujinga wako unaongezeka kwa spidi gani na kila baada ya siku ngapi,sio muda mlefu kutoka sasa unakua zezeta.
 
Vincent Nyerere ni kabila moja na Freeman Mbowe? na Vincent anatoka familia moja na Freeman Mbowe?
Kwanini usishangae Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumkabidhi Shamsi Vuai waziri wa mambo ya ndani wakati kuna utitiri wa mawiziri wengine akiwemo waziri anaeratibu sera na shughuli za serikali bungeni?



Kuna tetesi kuwa Mbowe ni mtoto wa kuzaa wa Nyerere na alizaliwa wakati Mwalimu akiwa katika shughuli zake za kisiasa huko Machame,wilayani Hai.Hivyo Mbowe kwa Vincent ni Bro.Ukibisha tazama Sura ya Madaraka,Magige,Makongoro na Mbowe "like father like sons".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom