Ni wazi sasa: Mbowe na Zitto hawaivi

Status
Not open for further replies.

Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.

Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere.

Haiingiii akilini kwa Mbowe kumkabidhi Nyerere wakati kuna Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Zitto Kabwe.
Hii inaashiria kuwa wawili hawa hawaivi, au pengine tuseme mambo si shwari katika uongozi wa juu wa Chadema.

Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu.
Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.
 
Nape sijui anatoa wapi vilaza kama hawa!
 
Nilikuwa naelekea kukuunga mkono lakini nilipofika hapo kwenye bold nikaingiwa na mashaka. Hivi Vincent Nyerere naye ni Mchaga? Mbona hujauliza kwanini Pinda asimkaimishe Lukuvi (Sera, Uratibu na Bunge) au Mkuchika (OWM-Tamisemi) na badala yake akamwachia Waziri wa Mambo ya ndani? Hizi ni siasa za rejareja.
 
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.

Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere.

Haiingiii akilini kwa Mbowe kumkabidhi Nyerere wakati kuna Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Zitto Kabwe.
Hii inaashiria kuwa wawili hawa hawaivi, au pengine tuseme mambo si shwari katika uongozi wa juu wa Chadema.

Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu.
Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.

Una hakika na haya? Je umefuatilia kama Zitto naye ana udhuru ama la?
 
akikaimu Zito nafasi ya zito atakaimu nani??.......................... anampa mwingne uzoefu

Nini maana ya Naibu?..Naibu hakaimu, anashika madaraka hayo automatically pale mkuu anapokuwa hayupo, hasubiri kuteuliwa, alishachaguliwa kufanya kazi hiyo ya unaibu..
 
jamani huyu kishongo inabidi aende kufundwa.mana anakuja kumwaga Upupu halafu anatuacha tubishane.ni kumsusia mada kama wanavyofanya waliotutangulia.
 
Nini maana ya Naibu?..Naibu hakaimu, anashika madaraka hayo automatically pale mkuu anapokuwa hayupo, hasubiri kuteuliwa, alishachaguliwa kufanya kazi hiyo ya unaibu..
Nimeikumbuka bendi ya African Stars "Twanga Pepeta" walikuwa na wimbo wao "Pilipili ya shamba ya kuwashia nini"
 
oya mara mojamoja uwe unaacha kutumia hivyo viungo kufikiri uwe unatumia kichwa kilichotengwa kwa kazi hiyo na kutunza kumbukumbu! umesahau kuwa zito anatakiwa kutoa budget ya kambi pinzani? so yupo katika maandalizi, huwa hatujilimbikizii majukumu then ushindwe kuyatimiza' " think 100Times then speak 1ns, and not vice versa!"
 
Hivi JK alipoenda bondeni na Makamu wake akiwa USA nchi alimwachia nani? kuna nini ambacho kiliharibika kwa huyo aliyeachiwa?
 
Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere.

Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu.
Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.

Vincent Nyerere ni kabila moja na Freeman Mbowe? na Vincent anatoka familia moja na Freeman Mbowe?
Kwanini usishangae Waziri Mkuu Mizengo Pinda kumkabidhi Shamsi Vuai waziri wa mambo ya ndani wakati kuna utitiri wa mawiziri wengine akiwemo waziri anaeratibu sera na shughuli za serikali bungeni?
 
Nimemuuliza Kishongo swali hili hapo juu ila hataki kujibu.
 
Hivi JK alipoenda bondeni na Makamu wake akiwa USA nchi alimwachia nani? kuna nini ambacho kiliharibika kwa huyo aliyeachiwa?

Mficha maradhi,....kilio humuumbua.
Endeleeni kuficha uozo ambao umeanza kutoa uvundo.
Sielewe unachotetea...unaonekana umelewa uchadema.
 
kishongo,elfu mbili tu kaka ndo zinadhalilisha ut wako kiasi hiki?
kwani waziri mkuu hana mawaziri walioko ofisi yake mpaka amwachi shamsi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom