Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 128
Ushauri utabaki kuwa ushauri tu, ni busara ya wewe unayeshauriwa kuamua ama kukubali au kuukataa ushauri wowote unaopewa. Yeye mwenyewe amesema ukiambiwa jambo changanya na akili zako kwa nini yeye limshinde na wakati huo huo ni hodari wa kushauri wenzake?Kuna Mtu mmoja anaitwa YUSUPH MAKAMBA,ambaye ni katibu wa chama twawala,nadhani anatoa ushauri mbaya kwa MWENYEKITI wake wa hiki chama kuhusu namna chma kinavyopasawa kuendesha nchi
Kifupi tu ni kwamba busara ya rais wetu si kitu cha kujivunia kama taifa.