Ni wangapi wameumia.???

HOYANGA

Senior Member
Jun 9, 2011
187
26
HEPU SOMENI ATTACHMENT ILIYOKO KWENYE HILI TANGAZO,http://duce.ac.tz/images/Announcement/announcement_5.pdf najiuliza ni wangapi wamehujumiwa matokeo yao ya mitihani kwa kukosa umakini kama huu!!! copy and paste. Sijui kama muhusika yuko serious. Tangazo halisi lina address issue za mwaka huu content za 2010. hebu pitieni website ya duce.
 
Hebu ngoja nivae kwanza miwani yangu ya kutafsri namba naona kama sielewi
 
Back
Top Bottom