Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,856
- 371
Wana JF, itakumbukwa kauli za baadhi ya viongozi wa ccm ni ile iliyobainisha kuwa chama hicho kilikuwa na mtaji wa kura milion4 za wanachama wake kabla ya uchaguzi mkuu 2010. Pamoja na yote yaliyotokea na tuliyoyasiki mgombea wa kiti cha urais kupitia ccm alijitwalia kura milion5+. Hali hii imeniacha na maswali mengi na nimeona niilete humu jamvini tuidadavue kauli hiyo kwa pamoja, katika hali ya kutaka kujengana na kujua ni wanachama wangapi wa ccm waliokisapoti chama chao katika ngazi hiyo ya prezidaa.
Nawasilisha.
Nawasilisha.