Ni wakati wa zfa kumtimua bushiri

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Shirikisho la kabumbu la Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limeifungia kwa miaka mitano timu ya Miembeni ya Zanzibar na kocha wake Ali Bushiri, kwa kitendo cha kugomea kuendelea na mchezo kati yake na timu ya Heg Al Arab.
Sambamaba na adhabu hiyo ya kifungo, klabu hiyo imekumbana na fani nzito ya dola 20,000.
Miembeni ni wawakilishi wa zanzibar katika michuano hiyo ya vilabu bingwa vya Afrika Mashariki na Kati inayoendelea nchini Sudan.
Nadhani sasa ni wakati muafaka kumtimua Bushiri Stars na badala yake kupeleka kocha Mbadala Kutoka Zenj
 
Back
Top Bottom