Ni wakati wa uncle kuwa na Aunt,aliyekidhi PM!

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Ni kawaida sana mwanaume anapoku tayari kuwa na mwenza kutangaza nia! Dada mwenye sifa zifuatazo atapokelewa kwa moyo mkunjufu; black beuty au rangi ya chocolate, age 20-22, mwenye maadili ya kitanzania, mcha Mungu, mpenda amani, kimo cha wastan na msomi wa level ya chuo. MWALIMU ATAPEWA KIPAUMBELE ZAIDI! Kumbuka; heshima ya mwanamke kuwa na mume kadhalika mwanaume kuwa na mke! Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom