NI WAKATI WA CCM na CDM kukaa pembeni kuinusuru nchi

the mkerewe

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
232
14
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM
vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana

Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache malumbano ya ukanisa na umsikiti yasiyo na tija.

CDM ni ovyo like CCM.

CDM munaonaje tuviuwe vyama hivi hatairishi kwa amani
 
Kwanini unawauliza CDM usiwaulize CCM? Kwa taarifa yako, wewe ndiyo tunatakiwa tukuogope kama UKOMA mwanangu! Umetumwa weweeee!
 
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM
vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana

Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache malumbano ya ukanisa na umsikiti yasiyo na tija.

CDM ni ovyo like CCM.
CDM munaonaje tuviuwe vyama hivi hatairishi kwa amani

rotten piglet!
 
Wewe ndiye ukae pembeni uinusuru nchi na akili zako kama za Nape Nnauye.
 
Hakuna cha kuinusuru nchi hapa, lazima Slaa na wenzake wote tuwamalize. Si wanajifanya wanajua fujo sasa sikieni kinacho kuja Dar.
 
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM
vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana

Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache malumbano ya ukanisa na umsikiti yasiyo na tija.

CDM ni ovyo like CCM.

CDM munaonaje tuviuwe vyama hivi hatairishi kwa amani

Mbona unataka kutupeleka ahera kabla hatujafa hivi wewe unawajua CUF ama kwa vile tu unaweza kuandika
 
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM
vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana

Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache malumbano ya ukanisa na umsikiti yasiyo na tija.

CDM ni ovyo like CCM.

CDM munaonaje tuviuwe vyama hivi hatairishi kwa amani

We sio MKEREWE (usituabishe), bali ni M-KWE-RE asilia kabisa. Hizi ni akili za kikwere zilizojaa pumba tu! Kipaji kama hiki cha mipasho Mzee yusufu anakihitaji sana...huko utatoka!
 
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM
vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana

Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache malumbano ya ukanisa na umsikiti yasiyo na tija.

CDM ni ovyo like CCM.

CDM munaonaje tuviuwe vyama hivi hatairishi kwa amani

Are you serious? unataka CUF isimamie mambo ya siasa nchini au mbinafsi Mrema?

Sometimes we are sick... They knows nothing; the thinks they knows everything - that clearly points to a political career
 
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM
vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana

Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache malumbano ya ukanisa na umsikiti yasiyo na tija.

CDM ni ovyo like CCM.

CDM munaonaje tuviuwe vyama hivi hatairishi kwa amani

Chama neutral ndio chama gani? Mimi najua Chama tawala na chama pinzani. Sidhani kama tunahitaji chama neutral hapa.

Nikusahihishe. Ungesema CCM wakae pembeni, CDM watakaaje pembeni wakati sio waliounda serikali? Sana sana CCM na CUF ndo wangekaa pembeni kwani ndio waliounda serikali CCM (serekali ya jamhuri) na visiwani CCM ikishirikiana na CUF.
 
Kwa hapa tulipofikia na tunapoeleka uadui unaongezeka kati ya CDM vs CCM
vyama hivi viwili vinakera na vinamatatizo sana

Chama neutral ni CUF /NCCR/UDP viungane tuvipigie kura ili tuache malumbano ya ukanisa na umsikiti yasiyo na tija.

CDM ni ovyo like CCM.

CDM munaonaje tuviuwe vyama hivi hatairishi kwa amani

Simpleton
 
Back
Top Bottom