Ni wakati sasa kukopa viongozi kutoka ng'ambo!

Nilishauri na nashauri tena tumeshakuwa koloni chini ya utawala wa ccm sasa kama tunataka kujiokoa kutoka katika makucha hayo adui wetu ni mmoja tu ambaye ni ccm ukishaipiga chini hapojuu patakuwa vizuri namaaniasha raisi makini na kwajinsi hiyo basi tutaweza kufufuka upya na kuanza kujikomboa kutoka kaburini. Nashauri tumuweke madarakani raisi wa upinzani na utaona mambo yatakavyokuwa japokuwa hatatutakuwa na maendeleo ya haraka maana tumeshafukiwa kwahiyo atakuwa na kazi yakututoa kaburini nakutufanya tuanze kuwa watu. Tanzania safari ni ndefu unless tuseme imetosha. Lakini kukodi waje kutusaidia hawa wachina na wengine siafiki maana mimi naona ninauwezo hata kuwashinda wao kinachotuuwa ni uswahiba, rushwa na sheria mbovu zetu. Mnatafuta mchawi wakati mnamuona?

Tru dat!
 
kwa kweli ni wazo zuri sana na lingesaidia sana maana tunaowapa dhamana wameshindwa na inaonyesha kila unayemweka akifika uko anabadilika bora tuajiri kuanzia ngazi ya uraisi mpaka chini
 
...lakini cha ajabu ni kwamba uchaguzi wa raisi ukifanyika hata leo hii, hao hao wanaolalama na shida eti maisha magumu na ufisadi ndio watampigia huyo asiyetakiwa ama chama kisichotakiwa.
Msiende mbali, angalia Kigamboni, mikoa ya kusini etc.
Nahisi tunajitakia haya yote wenyewe
 
we once again need t change peoples mind and attitudes....................if we succeed in this area then we will be back in the right track for our country's development run

...lakini cha ajabu ni kwamba uchaguzi wa raisi ukifanyika hata leo hii, hao hao wanaolalama na shida eti maisha magumu na ufisadi ndio watampigia huyo asiyetakiwa ama chama kisichotakiwa.
Msiende mbali, angalia Kigamboni, mikoa ya kusini etc.
Nahisi tunajitakia haya yote wenyewe
 
am still looking for the better wayt of exzpressing this to the entire world so as to see this posibility as i see it to be meaningful.................let me see

kwa kweli ni wazo zuri sana na lingesaidia sana maana tunaowapa dhamana wameshindwa na inaonyesha kila unayemweka akifika uko anabadilika bora tuajiri kuanzia ngazi ya uraisi mpaka chini
 
mbona kila siku rais anaenda kuomba ushauri wa namna ya kuendesha nchi na kuenda kuomb misaada ya fedha na pia kukopa?................kwas nini tusianze sasa kukopa marais, mawaziri ktk wizara nyeti, maspika km spika wa sasa tungeazima toka nje.........na pia hata km sio kukopa basi nchi tajiri watuazime basi viongozi kutoka huko watusaidie.......................we rais gani anategemea kuendesha nchi kwa kushinda nchi za nje au kwenda kubembea jamaica sasa si bora hao anaowaona ni bora basi tuwaajiri wao......................tunamwajiri rais ili alete mipango ya namna gani watz watafaidika na raslimarti zao lukuki ambazo kila nchi inazitamani

mkuu wewe ndo umekata tamaa kabisaa bora hata ya cc tunaofikiri ibinafsiswe tunamoyo wa kuiendeleza!
 
mbona kila siku rais anaenda kuomba ushauri wa namna ya kuendesha nchi na kuenda kuomb misaada ya fedha na pia kukopa?................kwas nini tusianze sasa kukopa marais, mawaziri ktk wizara nyeti, maspika km spika wa sasa tungeazima toka nje.........na pia hata km sio kukopa basi nchi tajiri watuazime basi viongozi kutoka huko watusaidie.......................we rais gani anategemea kuendesha nchi kwa kushinda nchi za nje au kwenda kubembea jamaica sasa si bora hao anaowaona ni bora basi tuwaajiri wao......................tunamwajiri rais ili alete mipango ya namna gani watz watafaidika na raslimarti zao lukuki ambazo kila nchi inazitamani
uMECHOKA KAMA MIMI MKUU NA IKIWEZEKANA TUAZIME HATA WANAJESHI WAKWETU HAWAJUI WAJIBU WAO, WANAZANI KAZI YAO NI KUNYWA MAPOMBE TUU!
 
Am fade up now!.................who is ready for up rising against this very weak leader kikwete?
umechoka kama mimi mkuu na ikiwezekana tuazime hata wanajeshi wakwetu hawajui wajibu wao, wanazani kazi yao ni kunywa mapombe tuu!
 
Tuliposema serikali nayo ibinafisishwe wengine walitukana! Uwekezaji wetu ni wa kumpa mchina kazi za useremala kwenye maduka! yaani anadizaini frem ya duka! Bora mkoloni angerudi ili awekeze kwenye Mkonge, pareto, ili tuwe na cha kueksipoti kuliko uhuru huu usiofaida kwa mtanzania.
 
Jile79, your basis of argument is justified. We are in a desperate need for turnaround strategies so as to reverse the ongoing impunity, free falling ethics, lack of vision, negligence, lack of statesmen and dedicated public leadership.

The challenge is where do we start? who is the catalyst? Do we need internal or external resource to take off etc?
 
Naazimia kupeleka wazo hili ktk baraza la umoja wa mataifa ili nchi km tz zipewe kipaumbele cha kupewa mkopo wa viongozi kutoka majuu tukianzia na rais
 
Baada ya ndoto yangu ya ccm kufa na kusubiri maziko kutimia sasa natamani zaidi huu unabiii wangu utimie pia kwani sioni km tutakuja kupata kiongozi anayeweza kuisafisha nchi na mabalaa yaliyojaa kila idara na kila kona ya nchi.
 
Back
Top Bottom