Ni wabunge wangapi wa chadema hawachuki posho?

mkishikwa pabaya mnatoka mapovu badala ya kurekebisha msonge mbele!!!! Huo ndo unafiki ambao shibuda aliukataa.......mkikaa kwenye ma-tivii mnapinga tena kwa kauli mbiu ya pipoz pawa,mkizunguka mnachukua!!! Hamna tofauti na wanaoikubali moja kwa moja!!

issue siyo kuchukua, ila issue ni sysytem mbaya, ukizingatia na wingi wa wabunge wa ccm kusupport uchukuaji wa posho,
 
issue siyo kuchukua, ila issue ni sysytem mbaya, ukizingatia na wingi wa wabunge wa ccm kusupport uchukuaji wa posho,
Si wamuulize zitto anafanyaje Kama sio unafiki wao wakujifanya hawazitaki ..ishu ndogo Kama Iyo inawashinda kutekeleza mambo mengine sijui itakuajee....mwenyekiti Nae alirudisha gari kwa mbwembwe kubwaah Mara akapita mlango wa nyuma akalinyakua anatesa nalo ambapo Mtu Kama yeye Ndio ingekua rahisi kuonyesha mfano coz uwezo anao wakua na gari Kama iyo wanasiasa wote ovyo tuu
 
Back
Top Bottom