Ni vyema kumjulisha mpenzi wako expire date yake.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Natumai tukianzisha mapenzi ya aina hiyo tataheshimiana sana.Kwamba leo naanzisha mahusiano na wewe lakini tambua kuwa ifikapo tarehe xx/x/xxxx ujue uthamani wako kwangu umekwisha lakini kwa upande mwingine naona dada zetu hawatapendeza kwa hasa wanaowategemea ma boyfriend wao watakuwa wanaambiwa muda wangu umebakia mchache saaaana kwa hiyo haina maana kukugharimia labda tuongeze mkataba.Tofauti na hii ya sasa unamgharimia kiburudisho weee baada ya siku mbili unapewa kibuti inauma sana.Na hapo ndipo unapoonekana umuhimu wa kuingia kwenye mkataba wa mapenzi unaoonyesha tarehe ya kuexpaya.
 
what if K iki-expire kabla ya mkataba? may b kuwepo na phrse kwa contract inayo state K itakuwa kik di mara ngapi ili kuepusha uchakavu!!!
 
Hapa niwaachie adolescence ! Nikipachika langu hapa itakua ni kama nimeshona kiraka cha khanga kwenye Jeans !
 
Nimejaribu kuisoma habari hii kwa umakini na nilichokigundua ni kwamba ndani yake kuna chembe chembe za mfumo dume na unyanyasaji wa kijinsia na kuna assumption ambayo ndiyo imekuongoza wewe kusema maneno hao nayo ni kwamba Mara nyingi wanaume ndio wamekuwa wakishikilia, ama ndio wamekuwa na nguvu kwenye mahusiano- assumption ambayo kwa dunia ya sasa si kweli tena.
Jaribu kuachana na hayo mawazo kwani yatakupeleka pabaya kisaikolojia pia.
 
Kwani huyo kong'ota, watu mbayuwayu siku hizi changanya na za kwako, mapenzi ya mkataba wenye ukomo huo ni utapeli tu na umalaya kwa upande mwingine, au kidini tuseme uasherati tu na mtahukumiwa:photo::poa
 
Ok, but uwezekano wa ku-reniew upo?? Pili hii kitu ingesaidia sana. Yaani expiry date ikikaribia unaanza kabisa kutafuta replacement. Sometimes unakuta mtu umenuniwa tu bila sababu ya msingi, but hii itasababisha watu kuwa wazi kwamba nakununia kwakua tarehe zako zimefika
 
Nani ana haki ya kuweka tarehe - m'me, m'ke, wote?
Mashahidi wanahitajika? Mkataba je kwa maandishi?
Adhabu gani kwa atakayevunja mkataba?
 
Nani ana haki ya kuweka tarehe - m'me, m'ke, wote?
Mashahidi wanahitajika? Mkataba je kwa maandishi?
Adhabu gani kwa atakayevunja mkataba?
Hahahaaha. . .
Our relationships Date of expiration date is . . . . . . .
Kwahiyo kwasababu mahusiano ni ya wawili inabidi wote wakubaliane, na wasign mkataba huku wakiwa na wanasheria wao.

Kuvunjwa kwa mkataba kunaruhusiwa, maana hata maziwa ukisahau kuweka kwenye friji unaweza ukahitajika kuyamwaga mapema kwasababu yameharibika mapema kuliko kawaida, tofauti na matarajio.
 
Back
Top Bottom