Ni viumbe 2 tu wanafanya ngono mojawapo ya starehe duniani

kukojoa kuna raha yake... muda huo unaweza mchoma mtu mkuki wa mbavu na asisikie maumivu!
 
Bazazi nilikuwa BSc Agric general nilimaliza 2007 alikuwa anatufundisha soil chemistry jamaa ni mjima kweli huwezi amini hadi leo ana gari 1 tu landrover 109 na linaendeshwa na mkewe tu alikuwa mwl wangu wa special project
Huyo Prof ni Noma kweli anakuambia; alivyokuwa Marekan alikuwa anakaa chumba kimoja na msichana kutoka S.Africa mpaka wakamaliza masomo haja.......nae
 
ni vigumu kuamini kama ulikuwa kweli kwenye mazungumzo na profesa ama kuwa uliamini yeye ni profesa, maana hapa sijui unalotafuta zaidi ya kufurahisha genge

Naona yuko sahihi kuleta hii mada ni njia ya kuelezana mambo ambayo pengine mtu ulikuwa hufikilii juu ya hill jambo, kama utaona limekuvutia fatilia zaidi
 
With all due respect to the biology professor, please note that BONOBO monkeys also enjoy recreational sex. Females bonobos often offer sex left and right just to curry favors of males.
 
Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHIN tu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna ukweli katika hili?na kama kuna ukweli ni kwa nini viumbe hivi vilifikia huko kuifanya starehe na reproduction kutokea ndani ya starehe na si vingine vinavyokutana purposely for reproduction?
Viumbe wote wanakula maraha kwenye ngono.
 
viumbe ving vinaenjoy ngono ila wanafanya wkt wakiwa kwene joto ikiwa lengo n kuzaliana bt pia wanapata starehe ya kutosha
 
Mbwa ngono yao nzuri maana huwa dume akichomeka akimwaga lazma inate ndani,sasa hapo anageuka wanaanza kuvutana,raha sana aisee,

basi umenikumbusho tukio moja enzi hizo nikiwa dogo ras wa miaka kama 13/14,halafu mtukutu kinoma mtaani kwetu.

jioni moja nikiwa notoka shule,njiani si nikakutana na mbwa dume na jike wamenasiana.

nikawasogelea na fimbo mkononi niwachape ili waachane.huwezi amini yule jike alinibadilikiaje.alikenua domo lake kwa ukali na sauti ya mngurumo kunitisha ili nisijaribu kutimiza lengo langu.nikajua du kumbe mbwa jike anafurahia mjegejo wa mbwa dume na hataki nimtoe kwenye starehe yake.lol
 
Katika mazungumzo yangu ya kawaida tu,nimekutana na prof wa biology,katika kuongea hapa na pale akanieleza unajua katika viumbe vyote vilivyopo duniani hapa ni BINADAMU NA DOLPHIN tu ndio huwa wanaigeuza purposely ngono kuwa starehe,viumbe vingine vyote ni purposely for reproduction!!!!Sasa kuna ukweli katika hili?na kama kuna ukweli ni kwa nini viumbe hivi vilifikia huko kuifanya starehe na reproduction kutokea ndani ya starehe na si vingine vinavyokutana purposely for reproduction?

ni watatu ongeza sokwe aina ya bonobo
 
Ni kweli kabisa. Dolphin na Binadamu ndio wanafanya mapenzi kwa kwa ajili ya reproducion na starehe. Hawa wenine wote no matter the frequency of mating is for reproduction

kuna nyan wanaitwa bonobo check you tube wanapigana miti balaa na wanapenda hata zaid ya binadam!!!
 
Mi naona hata jogoo ana faidi sana kugegeda mitetea 5 kwa siku kitu cha kawaida!
 
Back
Top Bottom