Ni vitu gani nyie wanaume huwafanya mvutiwe na sisi wasichana?

hili swali limekaa ki personal sana,mana watu wanatofautiana,but mwanamke mkweli,mcheshi,mpenda maendeleo,msafi,muabudu Mungu,mwenye kujali,asiye mbinafsi,,hope kila mwanamme atampenda huyu mwanamke
 
Mwanamke anayependa kwa dhati, anatumia akili zake kunufaisha mapenz ya wapendanao. Anampenda Mungu, muwazi na mtekeleza ahadi. Aweze kutoa ushaur wenye kujenga au kukosoa. Awe na reasoning ability. Mwanamke anayebadilika akionywa. Daah swali pana hili...
 
Mie napenda lips zilozochongeka vizuri yaani ambazo you can leak easily, kifuani pawe pamejaa wastani (neither too small nor too big), sura na macho yenye usingizi (yaliyolegea kiaina), kalio kubwa kiasi then asiwe anatoa harufu kinywani (mswaki muhimu). Basi ni hayo tu mimi huwa yananipa mdadi kwa binti.
 
Back
Top Bottom