Ni vitu gani nyie wanaume huwafanya mvutiwe na sisi wasichana?

Mi napenda sana mapozi... kuongea, kutembea, kula, mikao(kama wako n.k), makonfidensi na kidogo awe 'agressivu'
 
Kiukweli kabisa mimi napenda demu mwenye chogo!!Sijui nnamaradhi kani mimi?!!
 
Tatizo uwez mpata mwenye vyote unakuta kitega uchumi kipo sura hakuna. Unakuta sura na kitega uchumi vipo chin kabana vuvuzela. Yan inabidi kimoja uforegone.
 
Hakuna ki2 nakipenda km ukwl kwa mwanamke,hta km utaniumiza lkn co afiche.Hta uwe mzur kias gan,km co mkwel hatuwez kudumu ktk mahusiano.
Boooooooooooooonge la point!!! tatizo wana sahau UAMINIFU NI RAHISI KUUPOKEA ILA NI VIGUMU KUUTUNZA
 
Kwanza UZURI ndio unamvutia mtu hata nyuki hili analijua na hapa kila mtu ana definition yake ya UZURI mwingine anaweza kumpenda/kuvutiwa na mwanamke kisa ana kucha nzuri,dimples,mwanya,skin color,figure(model,mfupi,mrefu,kibonge) hivyo vyote ni PHYSICAL CHARACTERISTICS then ukisha mwa-aproach unaanza kucheki vingine kama:-
1. A-Age
umri una nafasi yake, % kubwa ya wavulana hupenda wanawake ambao hawajawazidi umri REASON kubwa mwanamke anawahi kuzeeka mapema..

2.B-Background
laziima uijue background ya mwenzio, kila mwanamke ninaamini atakuwa shahidi katika hili lazima umedodoswa sana na mpenzi wako ili tu ajue ntaweza ku-match na mwenye script hii

3.C-Challenge
Je anamtazamo chanya katika maisha au ndio golikipa tu, mwanamke mtegemezi hana chance kubwa, mwenye kuonyesha bidii basi atatunzwa vyema..

4.D-Discipline
Je anawaheshimu wazazi wangu,ndugu,jamaa na hata marafiki zangu kama akichemsha kwenye adabu kashateleza total.

5.E-Education
Zamani zile elimu ilikuwa sio ishu lakini NOWDAYS elimu inapewa kipaumbele mno graduate wa chuo anatafuta gradute mwenzie hivyo hivyo kwa levels nyingine
6.F-Faith
HAPA NDIO MPANGO MZIMA NAWEZA KUSEMA NDIO MSINGI WENYEWE WA MAISHA YA WAPENDANAO...MWANAMKE AKISHINDWA KUONYESHA UAMINIFU BASI UJUE UNAENDELEA KUWA WA KUCHEZEWA TUUUU...HAPA NDIO INAFIKIA HATUA MWANAUME ANA-DECLARE SITAKUJA KUOA AU UNAOA ASUBUHI UKISHAKULA CHAKO UNAACHWA ANATAFUTWA MWINGINE...

mengine yatakuja....."see you when you see me"
 
Kusema za ukweli... sijui navutiwa na nini hasa!
Mara kadhaa nimewahi kujidandanya na rangi ila mmhhh baadae nikagundua nimechanganya sana rangi hadi tena haina maana....
Mara figure mara nini na nini......
Ila kitu kimojha kimebaki ukweli ni kuwa, nikimuona ninayevutiwa naye just nitamjua tu.......
 
Kwanza UZURI ndio unamvutia mtu hata nyuki hili analijua na hapa kila mtu ana definition yake ya UZURI mwingine anaweza kumpenda/kuvutiwa na mwanamke kisa ana kucha nzuri,dimples,mwanya,skin color,figure(model,mfupi,mrefu,kibonge) hivyo vyote ni PHYSICAL CHARACTERISTICS then ukisha mwa-aproach unaanza kucheki vingine kama:-
1. A-Age
umri una nafasi yake, % kubwa ya wavulana hupenda wanawake ambao hawajawazidi umri REASON kubwa mwanamke anawahi kuzeeka mapema..

2.B-Background
laziima uijue background ya mwenzio, kila mwanamke ninaamini atakuwa shahidi katika hili lazima umedodoswa sana na mpenzi wako ili tu ajue ntaweza ku-match na mwenye script hii

3.C-Challenge
Je anamtazamo chanya katika maisha au ndio golikipa tu, mwanamke mtegemezi hana chance kubwa, mwenye kuonyesha bidii basi atatunzwa vyema..

4.D-Discipline
Je anawaheshimu wazazi wangu,ndugu,jamaa na hata marafiki zangu kama akichemsha kwenye adabu kashateleza total.

5.E-Education
Zamani zile elimu ilikuwa sio ishu lakini NOWDAYS elimu inapewa kipaumbele mno graduate wa chuo anatafuta gradute mwenzie hivyo hivyo kwa levels nyingine
6.F-Faith
HAPA NDIO MPANGO MZIMA NAWEZA KUSEMA NDIO MSINGI WENYEWE WA MAISHA YA WAPENDANAO...MWANAMKE AKISHINDWA KUONYESHA UAMINIFU BASI UJUE UNAENDELEA KUWA WA KUCHEZEWA TUUUU...HAPA NDIO INAFIKIA HATUA MWANAUME ANA-DECLARE SITAKUJA KUOA AU UNAOA ASUBUHI UKISHAKULA CHAKO UNAACHWA ANATAFUTWA MWINGINE...

mengine yatakuja....."see you when you see me"

Mkuu sawa, hichi kitini nimekipenda....
Ila nadhani we unazungumzia kupenda kabisa sasa....
Kuvutiwa mara nyingi inakuwa mara ya kwanza tu kumuona mtu...
Sasa nashaka kama utaweza kuyajua yote haya
 
Zile physical characteristics ni 1st day mengineyo after aproaching
 
Naomba muwe wakweli, maana naamini kila msichana angependa kuujua ukweli huu.

Hapo mwanga wa laptop unapomulika ndio hasa makao makuu mengine kama makalio,mapokezi na miguu ni viungo vya mboga tu..ila mambo ni hapo
 
Back
Top Bottom